Ukitaka Mdahalo wa Wagombea wa Chadema wasiliana na Ofisi ya Katibu Mkuu

Lissu hawezi kuhimili midahalo yenye mantiki. Yeye no mwanaharakati wa kuendesha lawama hata za uwongo.
 
Lissu huyu huyu aliyekua anawapelekea moto kuanzia bungeni mpaka mtaani mpaka mkamkodishia wauuaji bado wakamshindwa?
Uandishi wako ni wa kijinga sana: Unajadili na mimi halafu unaniambia “Mkamkodishia?” Hiyo ndiyo tabia ya Lissu pia ya kura ka mambo a siyo kuwa na uhakika nayo. Tungekuea uraiani ningekufunglia mashtaka uithibitishie mahakama kuwa una ushahidi kuonyesha kuwa mimi nilishiriki nilimkodishia wauaji, na ulete ushahidi wa wauaji waliokodishwa
 
Ndiyo. Lissu anajua sana malumbano kama Ali up kuwa and any bungeni; hajui mdahalo wakujadili mada na kutoa mawazo mbadala
Uandishi wako ni wa kijinga sana: Unajadili na mimi halafu unaniambia “Mkamkodishia?” Hiyo ndiyo tabia ya Lissu pia ya kura ka mambo a siyo kuwa na uhakika nayo. Tungekuea uraiani ningekufunglia mashtaka uithibitishie mahakama kuwa una ushahidi kuonyesha kuwa mimi nilishiriki nilimkodishia wauaji, na ulete ushahidi wa wauaji waliokodishwa
Kwanini kila unapomuingelea Lissu unaishia kutetemeka kwa hofu na kuishia kutoeleweka ulichokiandika?
 
Kutonielewa ninachoandika ni tatizo lako. Kusoma maandishi hakuna maana ya kuyalewa.
 
Back
Top Bottom