Mwenyekiti analindwa kwa wivu mkubwa. Mdahalo wa Sugu vs Msigwa ulifuata taratibu hizo??ukitaka Mdahalo na Wagombea wa Chadema kuelekea uchaguzi wao wa ndani, basi wala si kazi ngumu, Nenda kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho iliyopo Mikocheni Dar es Salaam utasikilizwa.