ukitaka Mdahalo na Wagombea wa Chadema kuelekea uchaguzi wao wa ndani, basi wala si kazi ngumu, Nenda kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho iliyopo Mikocheni Dar es Salaam utasikilizwa.
Umeulizwa hapo juu. Lini umeandaa mdahalo Mbowe akakataa? Au mnasubiri uandaliwe na wengine? Kama unamtaka mdahalo, peleka maombi katika ofisi ya Katibu Mkuu, ukapewa ratiba za chama ili visigongane na vikao, andaa hela za ukumbi na allowance, na kisha waite wagombea 300