masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
unakuja tu automaticNaomba urafiki,
niambie urafiki hauombwi unakuja automatic.
Exactlyunakuja tu automatic
may be kusaidiana au kualikana sehem mbalmbal
hivyo yaan
mmeshavuana sioMbona hamkutwambia mapema? Too late!๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Ndio๐ฅบmmeshavuana sio
Mnofu unaanikwa๐Tukivuana chupi si ndo unyama unamwagika au?
Urafiki huzaa mahusiano ni vigumu kuzuia nguvu ya mahusiano ikishika kasi.wala msiusishe mambo ya mahusiano
hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu
basiiii urafiki umekwisha...
i thank God for this friend of mine
5 -6yrs
bado tunapishana na mishale tu...
una rafki humu...how many yrs so far
Mnofu unaanikwa๐
Gudubayi ๐Mbona hamkutwambia mapema? Too late!๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Tatizo mnawapa wawendawazimuMnofu unaanikwa๐
๐Kumbe kuna kuichapa ya humu, watu mna siri sana.
6yrs now tangu tuanze kuwasiliana PM badae tukahama piemuniuna rafki humu...how many yrs so far
Kumbe mnavuana chupi humu na hamsemi?