Tatizo mnawapa wawendawazimu
Mbaga umenichekesha sana mkuu. 😁
Tatizo mnawapa wawendawazimu
😂 Mungu Nifundishe kunyamazaVipi kuhusu kunyoana zivu?
Kumbe kuna kuichapa ya humu, watu mna siri sana.
😂 Mungu Nifundishe kunyamaza
Ndio tumeshasema sasa now you know..Kumbe mnavuana chupi humu na hamsemi?
Ukishafikia kunyoana zivu tayari kila kitu kimefanyika, manake round kadhaa zimetimia😅Vipi kuhusu kunyoana zivu?
Amna ni ushikaji tu😅Ukishafikia kunyoana zivu tayari kila kitu kimefanyika, manake round kadhaa zimetimia😅
Duh ! kumbe Jf watu wanakuwa siriazi kiasi cha kuonjeshana Asali ! mbona sikujua mapema ? nina miaka 9 humu toka nijiunge sina rafiki zaidi ya Ghayo's gangMbona hamkutwambia mapema? Too late!🤦🏽♀️
Kihasibu imekaaje hiyo kwa wale ambao hatujui ?Kumbe mnavuana chupi humu na hamsemi?
Hii mbaya hii 🤭Enheeee 😂
Lala salama!Gudubayi 😂
Kama huyu wangu kapita na ukei zote🥹Tatizo mnawapa wawendawazimu
Unashangaa nini ss mkuu, kwani we hujapewa mpaka sasa?Mimi pia nashangaa mkuu! 😁
Naunga mkono hoja 💯Tatizo mnawapa wawendawazimu
Pole wee! Wenzako week tu wanajilia tunda🤣Duh ! kumbe Jf watu wanakuwa siriazi kiasi cha kuonjeshana Asali ! mbona sikujua mapema ? nina miaka 9 humu toka nijiunge sina rafiki zaidi ya Ghayo's gang
Wala msiusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha...
i thank God for this friend of mine
5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu...
Una rafki humu...how many yrs so far
Inaitwa intetional mispresentation of disclosures. Huku nje tunajua ni Chit-Chat tu, kumbe DM watu wanavuana chupiKihasibu imekaaje hiyo kwa wale ambao hatujui ?