Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
We nielekeze namna ya kuiomba bn wacha janja janja!Mkuu unatoaga wapi maneno π
Kumbe kuna hela tena, ubepari hadi Kernel.Toa sasampa uone...
Matako hayo wanayaita Makebowa pumbu* sio?
πPlanet Data bundles was HereWala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha
I thank God for this friend of mine
5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu
Una rafki humu?
How many years so far?
Hujaona kurumbembe moja linapigania ugali hapo ukapita naloπ linafokafoka.. nina imani ukiliomba ukalipa hata twenty litafunga domo!We nielekeze namna ya kuiomba bn wacha janja janja!
Hii inafikirisha kimtindo π€.Naunga mkono hoja π―
Mtu wa maana kama secretarybird anakataliwa halafu anakuja kupewa Maghayo Maghabiro Busu la Kenge ambaye ni loose Nut kichwani
πͺπͺMdogo wangu ujue umefanya nianze kumfuatilia huyo secretarybird. π
Hivi Sifa zako kwake zinakuwaga serious au unamtania. π
Call me Ayatollah secretarybird.Hamna Dada mkubwa ,muda mwingi nacheka sana post zake za ujinga tena anaandika akiwa siriaz mpaka nawaza hivi , jamaa secretarybird kama ana familia na watoto anawezaje kujiControl na vituko vyake anaonekana mtu wa maana
Ukimkuta siku anaandika vitu vya maana na kutoa ushauri bila kujua post zake za nyuma u aweza kuona bonge la mtu , ila ni mtu safi anayeamua kujichetua muda mwingi kwa kufurahisha kijiwe cha JF tofauti na Maghayo Busu la Kenge ambaye kiuhalisia ni loose Nut kweli dishi halifanyi kazi
Huu mtego huu!Hujaona kurumbembe moja linapigania ugali hapo ukapita naloπ linafokafoka.. nina imani ukiliomba ukalipa hata twenty litafunga domo!
Ukianza na verse utamaliza na verse ohoo..!
Basi we kujiokotea itakuwa ngumu sana! Huwezi kujiongeza kabisaπHuu mtego huu!
Bora niendelee na hawa wanaovaa bukta ndani ya dera kama hawa wa online ndo hvo.Basi we kujiokotea itakuwa ngumu sana! Huwezi kujiongeza kabisaπ
ππππChama la wanaπ€£
Mzeewewe ni mdada au mkaka
Kwani we unataka huduma au unawaza mtu anakaaje?πBora niendelee na hawa wanaovaa bukta ndani ya dera kama hawa wa online ndo hvo.
We unajitunza mahi?πππππ
Tukivuana chupi si ndo unyama unamwagika au?
Naona kama maji marefu na mimi kuogelea ndo vile tena.Kwani we unataka huduma au unawaza mtu anakaaje?π