Pole πKama huyu wangu kapita na ukei zoteπ₯Ή
Sasa mtu umepewa uchi, afu unaanza kuvujisha siri Sasa huo c uwendawazimuMbaga umenichekesha sana mkuu. π
Jiandae jioni leo nipigieπNaomba na mm π
Ngoja wajeπKama kuna mtu anataka kuvuliwa na mimi naomba, anitoe ushamba kidogo
Ushkaji kwenye kunyoana zivu mkuu?π π πAmna ni ushikaji tuπ
Watu wanasiri sana humuπKumbe mnavuana chupi humu na hamsemi?
Hivi kumbe kuna kunyoana zivu?ππkweli bado me mdogoUkishafikia kunyoana zivu tayari kila kitu kimefanyika, manake round kadhaa zimetimiaπ
Sio kweliUrafiki wa Mwanaume na Mwanamke ni sawa na kuufanya Mua kua fimbo yakutembelea,
Siku ukihisi njaa,utautafuna tu.
Nitamwomba siku moja aninyoeππHapa unatuchora tu lakini ukweli unaujua, hata wewe unakutana na kina Seran π π π
Lugha nzuri tu mkuu, hawa viumbe tumeumbiwa ujueπNitamwomba siku moja aninyoeππ
6yrs now tangu tuanze kuwasiliana PM badae tukahama piemuni
Wakanichokozea rafiki angu hadi akala life ban
Nakupenda dada Lenie
ππ
Now tunalisongesha nje na jf ππ₯°
Kipenzi hivyo ndo hujataka hata kutumia tafsida. Lol.Kumbe mnavuana chupi humu na hamsemi?
Pacha nakugawa. ππTukivuana chupi si ndo unyama unamwagika au?
ππππΎMbona hamkutwambia mapema? Too late!π€¦π½ββοΈ
Mdogo wangu ujue umefanya nianze kumfuatilia huyo secretarybird. πNaunga mkono hoja π―
Mtu wa maana kama secretarybird anakataliwa halafu anakuja kupewa Maghayo Maghabiro Busu la Kenge ambaye ni loose Nut kichwani
Twinnie mapenzi matamu πPacha nakugawa. ππ
Uuwiiiii. πInaitwa international mispresentation of disclosures. Huku nje tunajua ni Chit-Chat tu, kumbe DM watu wanavuana chupi