Ukitaka mwanamke akuheshimu, usitoe siri za mapungufu yake, usimkebehi wala kumnyanyasa, Bali uwe chombo cha kumtia moyo na kumfariji

Bado hujawajua wanawake ww, ingia field ndo utawajua vizuri hawa viumbe.

Hawa viumbe wanaendeshwa sana na hisia, akitokea kutekwa kihisia na kapuku asie na kitu hata uje na ferrari atakuheshimu tu ila mapenzi yake yote yapo kwenye hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…