Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Safi sana! Leo umezungumzia principles zangu
Kikubwa Gusa achia imewatoa mchezoni Calculator FC.
kuna watu jana wamepaki bus na wamepita
wengine wa gusa achia twende kwao wamerudi kwao
ukatili ni mwingi sana
Katika kushambulia pia ukumbuke kutumia silaha/zana sahihi kutumia zana zisizofaa huenda kukakuchelewesha au kukakurudisha nyuma kabisa hivyo kumpa adui nafasi
...
Taikon mkuu hakika umeongeza jambo jipya kwenye intelligence yetu vijana shukrani MUNGU akubariki
Mkuu hakuna kitabu au makala yoyote uliyowahi kuandika kwa hardcopy !?
maisha hayana formula
Japo maisha banah yanamatokeo ya ajabu Sanaa..
Ila Leo umeandika kiukubwa Sanaa.
kabia juu muhimu sana
Hardcopy ikiwa tayari vizuri kutujuza wapenda makala zakoVipo soft copy
Nafanya maandalizi ya kuvichapisha
vikianza kupatikana softcopy tujulisheVipo soft copy
Nafanya maandalizi ya kuvichapisha
vikianza kupatikana softcopy tujulishe
Hardcopy ikiwa tayari vizuri kutujuza wapenda makala zako