Ukitaka ufanikiwe kwa Jambo lolote, tumia Kanuni ya Kushambulia Sana kuliko kuzuia Sana/kupaki Basi

Ukitaka ufanikiwe kwa Jambo lolote, tumia Kanuni ya Kushambulia Sana kuliko kuzuia Sana/kupaki Basi

Andiko zuri ila bado hujayajua maisha.
Maisha yana uncertainty kibao hayana unyoofu hata uwe na mikakati na mipango.
Suala la kupata na kukosa yote ni majaaliwa sio uhodari wala uzembe.

Maisha ni neno Pana. Sitakiwi kuyajua maisha ya wengine.
Nazungumzia maisha ya watu Fulanii ninaofanana nao.
Hao ambao Mungu ameniweka kundi Moja nao
 
Back
Top Bottom