mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ila maisha bwana,
watu tunatakiwa tujiambie maneno matamu kama haya wakati tunajua kabisa hakuna uhakika wa mafanikio
nimegundua binadamu hatuwezi kuishi bila kujidanganya yaani.
utunzi mahari lakini.
Daah ile inaitwa gusa achia tukae kinyongeKikubwa Gusa achia imewatoa mchezoni Calculator FC.
Andiko zuri ila bado hujayajua maisha.
Maisha yana uncertainty kibao hayana unyoofu hata uwe na mikakati na mipango.
Suala la kupata na kukosa yote ni majaaliwa sio uhodari wala uzembe.
Hivi wanajukwaa,tukimtunuku udaktari wa falsafa(PhD) ili huyu bwana jina lianze na dokta Robert itakuwa mbaya?Maana thesis nyingi anazotoa huyu bwana zinaishi miongoni mwetu.