Ondoa uislamu kwenye siasa za udhalimu buana Uislamu ni Zaidi wa CCMHuko hakuna kupinda pinda, hakuna strees
Hujui?Acha utani basi? Uislam tena?
Sasa kuna andiko linasema ccm ?Ondoa uislamu kwenye siasa za udhalimu buana Uislamu ni Zaidi wa CCM
Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.
Mambo ya Msingi katika Uislamu:
Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:
1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."
2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.
3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.
4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.
5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.
Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:
Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.
Dira ya Uislamu:
Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:
Haki
Uadilifu
Upendo kwa binadamu wote
Huruma na msamaha
Kuepuka dhuluma na maovu
Lengo kuu la Uislamu:
Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.
Hapa kuna wacheza siasa mbovu Za uonevu unyanyasaji kuzidi ccm Africa mashariki na kati nzimaSasa kuna andiko linasema ccm ?
Habari ya kukatana mapanga na kujilipua ngumuUislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.
Mambo ya Msingi katika Uislamu:
Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:
1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."
2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.
3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.
4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.
5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.
Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:
Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.
Dira ya Uislamu:
Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:
Haki
Uadilifu
Upendo kwa binadamu wote
Huruma na msamaha
Kuepuka dhuluma na maovu
Lengo kuu la Uislamu:
Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.
Umesikia wapi?Habari ya kukatana mapanga na kujilipua ngumu
Kila mtu anaijua nafsi yake nini anafanyaKwa hiyo hawa mafisadi, wauaji, watesaji, watekaji, miungu watu, nk. waliojaa kwenye siasa na wenye majina kama ya kwenu, na mnao swali nao pamoja; na wenyewe ni waislam, au ni mashetani?
Ndio hizo sasa unazionaSiasa ni maisha..kama una akili timamu
Ndevu kapewa mwanamme sio mwanamke, sasa wewe kdevu cheupe kama mwanamke mwari unasemaje?6. Kufuga madevu marefuu kama ufagio huku ukisubir mabikra 70 na alkasusu boza 2
Kama ni hivyo basi hoja yako haina mashiko.Kila mtu anaijua nafsi yake nini anafanya
Acha upotoshajiUislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.
Mambo ya Msingi katika Uislamu:
Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:
1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."
2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.
3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.
4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.
5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.
Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:
Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.
Dira ya Uislamu:
Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:
Haki
Uadilifu
Upendo kwa binadamu wote
Huruma na msamaha
Kuepuka dhuluma na maovu
Lengo kuu la Uislamu:
Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.
Si mara nyingi tu kwenye mihadhara wanasemaUmesikia wapi?