Ukitaka uishi kwa raha usiingie katika Siasa, zama katika Uislamu

Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.

Mambo ya Msingi katika Uislamu:

Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:

1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."

2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.

3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.

4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.

5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.

Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:

Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).

Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.

Dira ya Uislamu:

Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:

Haki

Uadilifu

Upendo kwa binadamu wote

Huruma na msamaha

Kuepuka dhuluma na maovu

Lengo kuu la Uislamu:

Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.

IMG_20250405_022204_957.jpg

Cc MK254
 
Kwa yule jamaa Jambazi, Tapeli, Mbakaji, Na madhambi yote? Acha masikhara sheikh wangu. Au una sanifu Dini? Nenda Irani,Iraq, yemen,syria,lebanon n.k hakufai. Waislamu wanakimbilia Ulaya na Marekani.
 
Hao Waislam wenyewe unayewasemea kuna sehemu watu hawana. Amani sababu ya hizo Itikadi
 
Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.

Mambo ya Msingi katika Uislamu:

Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:

1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."

2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.

3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.

4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.

5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.

Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:

Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).

Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.

Dira ya Uislamu:

Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:

Haki

Uadilifu

Upendo kwa binadamu wote

Huruma na msamaha

Kuepuka dhuluma na maovu

Lengo kuu la Uislamu:

Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.

ASILI YA QURAN NA UISLAM NI SHETANI​

Ndugu msomaji,
Leo tutajifunza asili na au mwanzo wa Quran na Uislam ni nini na au nani?
Bila ya kupoteza muda, hebu tuanze kusoma vitabu vya Waislamu.
KAMA MUHAMMAD ALIZALIWA NA SHETANI, AKACHEZEWA NA MASHETANI MNAMFUATA KWA LIPI?
1. KUZALIWA KWAKE MUHAMMAD,
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389).
Katika uthibitisho tulio usoma hapo juu, tumejifunza kuwa Muhammad alizaliwa kwa nguvu za Mashetani na huo mwanzo ni mbaya sana maana hatuna aya au hadith ambayo inasema kuwa, Muhammad alitolewa hayo Mashetani alipopewa unabii na kiumbe cha ajabu ajabu.
Cha kushangaza, Muhammad anapewa unabii na kiumbe cha ajabu ambacho kilimpiga kabali/loba mpaka Muhammad akaweeseka na kuona nyotanyota. Soma uthibitisho hapa chini.
2. MUHAMMAD BAADA YA KUTOKA PANGONI ANIKIRI YAFUATAYO,
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga"(Kitabu cha maisha ya Nabii Muhamaad s.a, uk.17 kilichoandikwa na Sheiky A.Farsy).
Umesoma mwenyewe na kuelewa kuwa kitendo cha Muhammad kupigwa mpaka kuweweseka namna hii hakika hakitoki kwa Mungu wa Adam, Ibrahim, Musa na Mitume wengine wa Biblia. Maana hakuna aya hata moja kwenye Biblia Takatifu inayosema kuwa Manabii wake wapigwa kabali na Malaika, bali tunasoma kuwa Manabii wote wa kwenye Biblia wapiewa Utume na Mungu mwenyewe na sio kiumbe cha ajabu kilicho msimika utume Muhammad usiku tena kwenye pango.
3. KUROGWA KWAKE MUHAMMAD,
Amesema Mwanaisha Mkewe Mtume kuwa "Yahudi Mmoja aitwaye Labiid bin Al'answan alimroga Mtume Muhammad, ikawa Mtume baadhi ya Nyakati huchanganyikiwa na kuanza kuita Ovyo ovyo.
(Sahih Muslim J. 4 uk. 38-39)

YAANI INA MAANA MUNGU ALIKOSA MTU WA KUTUMA MPAKA ATUME MUHAMMAD ALIYECHEWA NA MASHETANI?
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAM, MAANA SASA TUNAFAHAMU KUWA MUHAMMAD SIO TU ALIZALIWA NA MASHETANI BALI ALIONGEZEWA MASHETANI KWA KUROGWA.
Ingawa hakuna aya au hadith inayo sema kuwa Muhammad alitolewa Mashetani, hivyo sio kosa kukiri kuwa Muhammad alikufa akiwa na Mashetani ndani ya nyoyo yake na hivyo mwisho wake ni Jehannam ya moto.
Msiba ukaendelea baadae, sasa na Mwandishi wa Quran na yeye kapagawa na Mashetani.
Jamani, hivi, kwanini Waislam hawasomi vitabu vyao?
KUMBE ALIYEANDIKA QURAN ALIKUWA NA SHETANI?
SOMA:
Mtu wa Awali, aliyejifundisha kusoma na kuandika katika Mji wa Makka alikuwa Bwana Harb bin Umayya-babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa Yaman, na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa Makka.
Wakati Mtume alipopata utume walikuwako watu 6 tu katika Makka waliokuwa wakijiua kuandika. Wa 4 katika yao waliingia katika Uislamu, wakawa ndiyo waandikaji "Wahyi" (aya za Qur'an), watu hao walikuwa ni Sayyidna Abubakar. Sayydna Umar, Sayyidna Uthman na Sayyidna Ali. (Kitabu cha Maisha ya Nabii Muhammad uk. 8,na Sheiky A.Falsy)
SAYYIDNA ABUBAKAR,
Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)
SASA KAMA "QURAN" KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI, KWA NINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI?
Ndugu msomaji, nakusihi uwe makini na Uislam maana hakuna jema kule zaidi ya Mashetani kila kona. Kuanzia Muhammad, Quran mpaka Allah wao, wote wamethibitisha kuwa Shetani ndio aliye kwenye nyoyo zao.
Sasa kwanini ufuate Shetani wakati Mungu Mkuu yupo na anakupenda?
 
Sina shida na dini ya mtu lakini waislamu huwaona wenzao wakristo kama wanyama au makafiri, huo upendo unaozungumzia hapo ni unafiki tu.

Bora dini zetu za asili, tulipendana pasipo mipaka.
 
Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.

Mambo ya Msingi katika Uislamu:

Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:

1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."

2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.

3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.

4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.

5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.

Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:

Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).

Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.

Dira ya Uislamu:

Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:

Haki

Uadilifu

Upendo kwa binadamu wote

Huruma na msamaha

Kuepuka dhuluma na maovu

Lengo kuu la Uislamu:

Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.

Hakuna aina ya itikadi yenye vurugu kama uislam. Kwanza, lazima uwachukie na kuwatukana wasio waislam. Pili, lazima ujikane na kuwakana wenzako na kujiona na kujihisi muarabu na siyo mbantu tena. Tatu, lazima ufakamie kila mila za kiarabu bila kuhoji isipokuwa kuamini. Nne, lazima uishi kwenye ulimwengu wa kusadikika wa miaka ya kikale ya kikuleish. Tano, lazima ukubali kuwa wewe, watu wako na mila zenu ni za kishenzi na hivyo lazima zifutwe na kutumia za kiarabu. Sita, lazima ujifunze kukariri vitu visivyo kusaidia tena kwa lugha ngeni ambayo wengi hata hawaijui. Saba, lazima uache kutumia akili zako kufikiri. Nane, lazimam ujifunze udhalilishaji wa kijinsia kwa kuwaona wanawake kama viumbe nusu watu. Tisa, lazima uwapigie wengine kelele mara tano kwa siku chini ya kinachoitwa adhana kwa vile wewe huna kumbukumbu ya kujua mambo muhimu ya kufanya. Mbona hatupigiwi adhana kwenda kazini au kulala? Kumi, lazima uwe tayari kufia dini yako lakini siyo nchi wala watu wako. Kumi na moja, lazima uwapokee maadui wa ndotoni 'wanaotishia' dini ya allah. Kumi na mbili, lazima ukubali kila ujiiinga na uongo kama vile kupewa wanawake mamia peponi. Ni mengi tu.​

Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:

Mohammed said "If someone engages in sexual intercourse with an animal, kill him and kill the animal."

I get the “kill the rapist”, not sure why the animal must die too. Anyway, Mohammed isn’t very logical or consistent.

Upendo kwa binadamu wote

O believers, take not Jews and Christians as friends; they are friends of each other. Those of you who make them his friends is one of them. God does not guide an unjust people. - 5:54

Huruma na msamaha

O Prophet! Make war on the unbelievers and the hypocrites. Be harsh with them. Their ultimate abode is hell, a hapless journey's end. Quran - 9:73

Kuepuka dhuluma na maovu
Fighting is obligatory for you, much as you dislike it. - 2:216
 
Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.

Mambo ya Msingi katika Uislamu:

Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:

1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."

2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.

3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.

4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.

5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.

Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:

Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).

Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.

Dira ya Uislamu:

Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:

Haki

Uadilifu

Upendo kwa binadamu wote

Huruma na msamaha

Kuepuka dhuluma na maovu

Lengo kuu la Uislamu:

Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.
mbona tumecha yote haya ustaadh wangu tunamwabudu mwanamke mmoja mzanzibari na tunadiriki kumtaja mara nyingi kuliko Allah kwa siku, yaani yule mama hata Allah mwenyewe anakasirika mnamtajaje mara nyingi kuliko mola wake?Shame on Us
 
Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.

Mambo ya Msingi katika Uislamu:

Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:

1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."

2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.

3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.

4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.

5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.

Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:

Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).

Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.

Dira ya Uislamu:

Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:

Haki

Uadilifu

Upendo kwa binadamu wote

Huruma na msamaha

Kuepuka dhuluma na maovu

Lengo kuu la Uislamu:

Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.
Afghanstan, somalia, sudan, syria wanaishi kwa raha
 
Back
Top Bottom