choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,093
Dubai, UAE, Saudia wanaishi kwa raha sababu ni wasomi wa elimu duniaUislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.
Mambo ya Msingi katika Uislamu:
Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:
1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."
2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.
3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.
4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.
5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.
Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:
Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.
Dira ya Uislamu:
Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:
Haki
Uadilifu
Upendo kwa binadamu wote
Huruma na msamaha
Kuepuka dhuluma na maovu
Lengo kuu la Uislamu:
Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.
Kakwambia naniDubai, UAE, Saudia wanaishi kwa raha sababu ni wasomi wa elimu dunia
Yaani eti uruke () afu ukakanyage [_]Acha utani basi? Uislam tena?
MagaidiOndoa uislamu kwenye siasa za udhalimu buana Uislamu ni Zaidi wa CCM
Wewe nyoa ubaki kidevu cheupe kama Cha shangazi yako6. Kufuga madevu marefuu kama ufagio huku ukisubir mabikra 70 na alkasusu boza 2
Kama vile kuoa katoto kka miaka6 na kuingilia vitoto vya miaka9?!
KwA jinsi nnavyo ona waislam wana behave I don't want to be among those people... Muslims are kind of people who judge by emotions and not by logic...dini ya Uislamu imejaa chuki na ni dini ambayo ilienezwa kwa upangaUislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.
Mambo ya Msingi katika Uislamu:
Uislamu umejengwa juu ya nguzo tano:
1. Shahada (Imani): Kushuhudia kwamba "Hakuna mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah, na Muhammad ni Mtume wake."
2. Swala: Kusali mara tano kwa siku.
3. Zaka: Kutoa sehemu ya mali kwa ajili ya kusaidia masikini na wahitaji.
4. Saumu: Kufunga katika mwezi wa Ramadhani.
5. Hija: Kwenda kuhiji Makka kwa mwenye uwezo angalau mara moja maishani.
Vyanzo vya Mafundisho ya Uislamu:
Qur’an Tukufu: Kitabu kitakatifu cha Waislamu kilichoteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW).
Hadithi/Sunna: Maneno, matendo na maelezo ya Mtume Muhammad (SAW) ambayo yanaelezea kwa undani jinsi ya kuishi maisha ya Kiislamu.
Dira ya Uislamu:
Uislamu unafundisha maadili mema kama vile:
Haki
Uadilifu
Upendo kwa binadamu wote
Huruma na msamaha
Kuepuka dhuluma na maovu
Lengo kuu la Uislamu:
Kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee na kuishi maisha ya wema duniani ili kupata radhi ya Allah na kuingia Peponi katika maisha ya akhera.
Utakuwa wewe ni mkiristo mwenye msimamo mkali sana, unajazwa chuki ktk kanisa lako na kuwajaza wenzioKwA jinsi nnavyo ona waislam wana behave I don't want to be among those people... Muslims are kind of people who judge by emotions and not by logic...dini ya Uislamu imejaa chuki na ni dini ambayo ilienezwa kwa upanga
Ni rahisi kwa mkristo kuishi kwa amani na muislam lakini ni ngumu kwa muislam kuishi na mkristo kwa amani.
Asilimia kubwa ya mahubiri ya kiislamu ni ya kujenga chuki dhidi ya wasioamini na watu wa madhehebu mengine
Dini ya Uislamu inampigania mungu na sio mungu kujipigania yeye
Why do Muslims kill non believers in their countries!?
What is the point of killing a human being you see trying to impress the God you've never seen!?
Utakuwa wewe ni mkiristo mwenye msimamo mkali sana, unajazwa chuki ktk kanisa lako na kuwajaza wenzio
SOMA HAPA
Qur'an 16:90
“Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha uadilifu na ihsani (wema)…”
Aya hii inaonyesha kuwa Uislamu unasisitiza haki, uadilifu na matendo mema kwa wote.
2. Qur'an 5:32
“…ambaye ataua nafsi isiyo na hatia ni kama amewaangamiza watu wote, na ambaye ataiokoa nafsi ni kama ameokoa watu wote.”
Hii inaonyesha thamani ya maisha ya binadamu na msimamo wa Uislamu dhidi ya uonevu au mauaji yasiyo na haki.
3. Qur'an 49:13
“Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kwa mwanamume na mwanamke, na tumekufanyeni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mwenye Taqwa zaidi…”
Uislamu haupendelei kabila wala rangi bali unahimiza kuheshimiana na kujuana kwa amani.
Ujumbe wa Uislamu umejengwa juu ya msingi wa amani (salaam), na hata jina lenyewe "Islam" linatokana na neno la Kiarabu "Salaam" linalomaanisha amani. Mtume Muhammad (SAW) pia alihimiza wafuasi wake kusambaza salamu za amani na kuishi kwa wema na jirani zao.
UMEFAHAMU WEWE?
Surat At-Tawbah (Sura ya 9), Aya ya 28 hadi 30, pamoja na maelezo mafupi ya muktadha:[ AT-TAWBA - 29 ]
Piganeni na
1. Wasio muamini Mwenyezi Mungu
2. Wala Siku ya Mwisho,
3. Wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume,
4. Wala hawashiki Dini ya Haki,
5. Miongoni mwa walio pewa Kitabu,
6. Mpaka watoe kodi kwa khiari yao,
7. Hali wamet'ii.
Enyi mlioamini! Hakika washirikina ni najisi. Basi wasikaribie Msikiti Mtakatifu baada ya mwaka wao huu. Na mkikhofu umasikini, basi Mwenyezi Mungu atakutajirisheni kwa fadhila yake ikiwa Atataka. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye hekima.
Piganeni na wale wasiomuamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharamishi alivyoharamisha Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, wala hawafuati Dini ya Haki — miongoni mwa waliopewa Kitabu — mpaka watoe kodi kwa unyenyekevu, hali ya kuwa wamedhalilika.
Na Mayahudi wanasema: “'Uzayr ni mwana wa Mwenyezi Mungu.” Na Wakristo wanasema: “Masihi (Yesu) ni mwana wa Mwenyezi Mungu.” Hayo ndiyo wanayoyasema kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya wale waliokufuru zamani. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani (na haki)!
ZiiSurat At-Tawbah (Sura ya 9), Aya ya 28 hadi 30, pamoja na maelezo mafupi ya muktadha:
---
Surah At-Tawbah 9:28
Maelezo: Aya hii iliteremshwa baada ya kufunguliwa kwa Makka. Washirikina walikuwa bado wanaruhusiwa kuingia katika Al-Masjid Al-Haram (Msikiti Mtakatifu), lakini Allah akawazuia baada ya mwaka huo. “Najisi” hapa ni najisi ya kiitikadi — si kwamba ni wachafu kimwili.
---
Surah At-Tawbah 9:29
Maelezo: Hii ni amri kwa Waislamu kupambana na wale wanaopiga vita Uislamu au kuleta uadui — hasa wale miongoni mwa Ahlul Kitab (Watu wa Kitabu — yaani Wayahudi na Wakristo), ambao hawafuati sheria za haki, mpaka wakubali kuishi kwa amani chini ya dola ya Kiislamu kwa kulipa jizyah (kodi maalum ya ulinzi na hifadhi). Hii haimaanishi kuwalazimisha kuingia Uislamu, bali ni mfumo wa pamoja wa kuishi chini ya utawala wa Kiislamu.
---
Surah At-Tawbah 9:30
Maelezo: Hii ni kukemea kauli ya baadhi ya Mayahudi na Wakristo waliompa viwango vya uungu Uzayr (Ezra) na Yesu. Qur’an inasisitiza kuwa Mungu hana mwana wala mshirika. Hili ni onyo dhidi ya kufuru ya kuipotosha Tawhidi (imani ya Mungu Mmoja).
---
Imeandikwa kuwa Wakristo au Wayahudi kama wataishi katika nchi ya Waislamu wanatakiwa