Ukitaka ujue ujinga wa watanzania angalia Azam sasa hivi ishu ni Simba na Azam

Ukitaka ujue ujinga wa watanzania angalia Azam sasa hivi ishu ni Simba na Azam

kinachotrend tanzania hivi sasa...

duh
trends.google.com_trending_geo=TZ(Samsung Galaxy S20 Ultra).png
 
Kama kina Mandoga na piere liquid na 900 itapendeza walichukua sura ya nchi why not kwa timu kubwa kama hizo?
Ikivuja connection ndo utaona wa bongo ni wafatiliaji wa mambo yanayoendelea nchini kwao
 
Mtoa mada inawezekana si mfuatiliaji wa mambo ya burudani kote ulimwenguni hivi unajua wenzetu wa Ulaya ni wafuatiliaji zaidi wa hizi burudani kuliko sisi hapa Tanzania? Embu tazama hata namba ya mashabiki kwenye viwanja vyao uwa ni full house kuliko sisi ambao idadi yetu Bado duni ila mwisho wa siku unapaswa ufahamu hii michezo ndiyo uleta tabasamu na kuna wakati wa u serious na wakati wa furaha.
 
Mwamba Kuna chaneli nyingi kupitia kisimbuzi Cha Azam......... Fanya chaguo.
 
Watanzania mambo ya msingi hawayapi kipaumbele ila mambo ya ujinga ndio wanayapa chapuo.
We ndio mpumbavu kufuatilia mambo ya watu. Mambo gani ya msingi unafanya wewe? Bwege tu, fanya mambo yako hakuna unaweza kumlisha we maskini
 
Akitekwa mtu hawajishuhulishi ccm ikifanya madudu wapo kimya ila uje mpira sasa ndio utawajua ni wajinga kiasi Gani.
We kenge usiwachagulie wenzio cha kufanya. Kupanga ni kuchagua we jipangie ya kwako ghadabu za nini kwa yasiyokuhusu?
 
Akitekwa mtu hawajishuhulishi ccm ikifanya madudu wapo kimya ila uje mpira sasa ndio utawajua ni wajinga kiasi Gani.
Kutekwa mtu ni jambo la karaha halipaswi kutangazwa hovyo
Mpira ni jambo la furaha
 
Back
Top Bottom