Ukitaka usiugue kila wakati, tumia njia hii

alikuwa hajaelewa2 mpendwa,...
hope ameshaelewa
 
Hivi izo lita 3 za maji ya uvuguvugu unakunywa kwa mara moja au kwa interval flani ivi coz 3 litres ni nyingi mnoo
Lita 3 za maji unakunyw akwa siku nzima Asubuhi unaweza kunywa glasi 3 saa 4 asubuhi ukanywa tena glasi 2 mcha ukanywa tena glasi2 jioni ukanywa tena glasi 2 usiku ukanywa tena glasi zako 2 na wakati wakulala ukanywa glasi 1 inatosha
 
Mm naomba kukuuliza dokta je siwez tafuna hvyo vitunguu jioni badala ya asbh???
 
Huwa natumia tu vitunguu swaumu, ngoja niongeze na hivyo
 
Mzizimkavu,samahani Nina swali ,km una ufaham juu LA hili,jicho langu LA kulia upande wa juu hucheza sana takribani 3weeks,nini tatizo?
Utateuliwa kuwa mkuu wa wilaya
 
Vip zile Apple zinazotoka South Africa je zinafaa?
 
VITUNGUU SWAUM PUNJE TANO HALAFU BAADA YA DAKIKA KUMI MAJI LITA MOJA MAGONJWA MADOGOMADOGO UTAYASAHAU.
 
Mzizi mkavu kuna dawa au vyakula vya kuzuia kukojoa kila mara hasa nyakati za usikuu?
 
Mzizi mkavu kuna dawa au vyakula vya kuzuia kukojoa kila mara hasa nyakati za usikuu?
Chmesha karafuu za kiasi tu kwenye maji kishakunywa itakusaidia kupunguza mkojo nyakati za usiku na wakati wa kwenda kulala hakikisha unakojoa kisha unalala, usilale pasipo na kukojoa mkojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…