housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,192
Hanywi maji huyoSawa tunashukuru kwa msaada huu,ila mtu ambae mkojo wake unakuwa unatoa harufu saana.
Je tatzo ni nin?
Kumbuka hatumii pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hanywi maji huyoSawa tunashukuru kwa msaada huu,ila mtu ambae mkojo wake unakuwa unatoa harufu saana.
Je tatzo ni nin?
Kumbuka hatumii pombe
alikuwa hajaelewa2 mpendwa,...Ha ha ha! Mkuu, naposema Edeni products namaanisha mfumo wa ulaji wa kwanza kwa mwanadamu ulioletwa na Mungu kule Edeni. Chakula kikuu kilikuwa fruits & vegetables.
Ukisoma biblia kitabu cha Ezekieli, Mungu aliwaambia wanadamu, "Fruits will be for food & their leaves for medicine." Ukitaka andiko nitakupa.
hiii ndo soln pekeee yani,.....ukitaka usiugue kila wakati mtangulize Mungu kila kuitwapo leo....
Lita 3 za maji unakunyw akwa siku nzima Asubuhi unaweza kunywa glasi 3 saa 4 asubuhi ukanywa tena glasi 2 mcha ukanywa tena glasi2 jioni ukanywa tena glasi 2 usiku ukanywa tena glasi zako 2 na wakati wakulala ukanywa glasi 1 inatoshaHivi izo lita 3 za maji ya uvuguvugu unakunywa kwa mara moja au kwa interval flani ivi coz 3 litres ni nyingi mnoo
ukinywa chai ya uvuguvugu haitu saidia kituhapo.nikinywa chai je???,.ya uvuguvugu
Utateuliwa kuwa mkuu wa wilayaMzizimkavu,samahani Nina swali ,km una ufaham juu LA hili,jicho langu LA kulia upande wa juu hucheza sana takribani 3weeks,nini tatizo?
Chmesha karafuu za kiasi tu kwenye maji kishakunywa itakusaidia kupunguza mkojo nyakati za usiku na wakati wa kwenda kulala hakikisha unakojoa kisha unalala, usilale pasipo na kukojoa mkojo.Mzizi mkavu kuna dawa au vyakula vya kuzuia kukojoa kila mara hasa nyakati za usikuu?