Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sasa kila kitu kati ya hivyo ule kila siku kweli ? Yaani apple, maji ya limao, kitunguu swaumu, maziwa, maji glass 3..........Fanya hivi kila siku
1. Unapoamka Asubuhi kula Tunda la Tufaha (Apple) Hutoweza kuonana Daktari siku nzima.
An apple a day keeps the doctor away
View attachment 319067
2. Kula Punje 2 za Kitunguu Saumu hutapata ugonjwa wa kansa (Saratani).
View attachment 319069
3. Kunywa juisi ya lemon kila Siku asubuhi hutapatwa na unene.
View attachment 319070
4. Kunywa glasi 1 ya maziwa ya ng'ombe ya asili sio Maziwa yanayo uzwa Madukani hutopatwa na maradhi ya mifupa kuuma mwilini.
View attachment 319071
5. Kunywa Maji ya Uvuguvugu lita 3 kwa siku hutopatwa na maradhi yoyote yale.
View attachment 319072
chanzo:MziziMkavu
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Mkuu zote unapiga asubuhi lemon, aple na maji?Fanya hivi kila siku

Vipi ladha yake mkuu?Tatizo kitunguu swaum kinaacha kinywa na harufu Kali sana mkuu
Hakuna namna ya kuzuia harufu
Kapime sukari mkuuSawa tunashukuru kwa msaada huu,ila mtu ambae mkojo wake unakuwa unatoa harufu saana.
Je tatzo ni nin?
Kumbuka hatumii pombe
Hyo ni dawa haswa.best of the bestDr. Mzizimkavu nasikia Mlonge nao ni dawa kiboko ya Maradhi mengi. Je unaweza kutujuza ni maradhi yepi yanayotibiwa na Mlonge?