Ukitaka usiugue kila wakati, tumia njia hii

Dr Mimi Nina ndugu yangu ana matatizo ya pressure imeanza hivi karibuni ila inampa shida sana nifanyeje? Naomba msaada wako
 
Dr huwa unajichanganya kuna makala yako nimesoma unasema maziwa hayafai kiafya
 
Fanya hivi kila siku

1. Unapoamka Asubuhi kula Tunda la Tufaha (Apple) Hutoweza kuonana Daktari siku nzima.
An apple a day keeps the doctor away

View attachment 319067

2. Kula Punje 2 za Kitunguu Saumu hutapata ugonjwa wa kansa (Saratani).

View attachment 319069

3. Kunywa juisi ya lemon kila Siku asubuhi hutapatwa na unene.

View attachment 319070

4. Kunywa glasi 1 ya maziwa ya ng'ombe ya asili sio Maziwa yanayo uzwa Madukani hutopatwa na maradhi ya mifupa kuuma mwilini.
View attachment 319071

5. Kunywa Maji ya Uvuguvugu lita 3 kwa siku hutopatwa na maradhi yoyote yale.

View attachment 319072

chanzo:MziziMkavu

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Sasa kila kitu kati ya hivyo ule kila siku kweli ? Yaani apple, maji ya limao, kitunguu swaumu, maziwa, maji glass 3..........
 
Fanya hivi kila siku

1. Unapoamka Asubuhi kula Tunda la Tufaha (Apple) Hutoweza kuonana Daktari siku nzima.
An apple a day keeps the doctor away

View attachment 319067

2. Kula Punje 2 za Kitunguu Saumu hutapata ugonjwa wa kansa (Saratani).

View attachment 319069

3. Kunywa juisi ya lemon kila Siku asubuhi hutapatwa na unene.

View attachment 319070

4. Kunywa glasi 1 ya maziwa ya ng'ombe ya asili sio Maziwa yanayo uzwa Madukani hutopatwa na maradhi ya mifupa kuuma mwilini.
View attachment 319071

5. Kunywa Maji ya Uvuguvugu lita 3 kwa siku hutopatwa na maradhi yoyote yale.

View attachment 319072

chanzo:MziziMkavu

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Mkuu zote unapiga asubuhi lemon, aple na maji?

Pia maziwa Dr Sebi kakataza rejea makala yake
 
Back
Top Bottom