Ukitaka usiumizwe na mapenzi lazima uwe malaya? Discuss

Ukitaka usiumizwe na mapenzi lazima uwe malaya? Discuss

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau!!!

Mapenzi ni kitu cha ajabu sana hii inadhihirika hata kwenye vitabu vya dini SAMSON alikuwa na uwezo wa kutandika askar 3000 na akapigwa KO na delila ebu waza hili samson aliulizwa mara nying sana siri ya nguvu zake akusema ila kwa delila alisema yote shida ipo wapi shida ni kwamba samson kwa mda ule alikuwa kimapenzi na delila tu angekuwa na wanawake wengine asingekubali

Kuna dada mmoja aliwah niambia sisi wanawake ili tuwe na akili lazima tuwe wawili nilishtuka kidogo mzee wetu MWINYI alipoulizwa siri ya kuish miaka mingi alisema ni kuoa wake wawili iko hv inasemekana kuwa WOMEN LOBE inapunguza hasira za mwanaume kwa 60 percent mke A akikuuzi we ingia chumba B kwa mke B hasira zote zitaisha huko
 
Unazungumzia kuoa mke zaidi ya mmoja au umalaya? Kua wake wawili sio umalaya, kua katika ndoa na kuchovyachovya kila nje ndo umalaya. Lakini pia hata mwanaume au mwanamke mrukaji unaemjua bado kuna mjanja wake akifika hafurukuti na ndo anamliza.
 
Pole binti mlokole kakuumiza Sana eti
i feel disappoint najisikia vibaya kuwadisappoint wanawake wengine yani wapo wengi walikuja very close tena wengine usiku mnene saa 5 ivi nikawazingua wapo waliosema home hawawez kurud nikawaforce
 
Back
Top Bottom