Ukitaka wafanyabiashara wasikuhujumu washirikishe katika Mipango yako ya Maendeleo ya kitaifa

Ukitaka wafanyabiashara wasikuhujumu washirikishe katika Mipango yako ya Maendeleo ya kitaifa

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Wafanyabiasha ni watu mhumu katika kukuza uchumi wa taifa .lakini pia ni watu hatari wakitaka kukuhujumu kama hutawasikikiza ,kuwashirikisha mipango ya maendeleo .mfano kama Kuna matajiri Wana basi Yao harafu wewe unataka kujenga reli lazima watapambana na wewe kuona hufanikiwi kiurahisi.
Najiulize Kwa Nini kama unataka kujenga reli Kwa Nini usitangaze ubia kati ya wewe na matajiri wa kizalendo? Kama unajenga bandari Kwa Nini usitangaze ubia kati ya wewe na matajiri Wakitanzaia wazalendo? Kama unataka umeme wa uhakika kwanini usitangaze ubia kati ya wewe na matajiri Wakitanzaia wa kizalendo?
Je Kuna jambo baya Serikali ikishirikiana na matajiri wazalendo ?
 
Back
Top Bottom