Ukitathimini kwa kina, hivi kuna haja ya CHADEMA kuwa na chuki dhidi ya CCM ama kinyume chake?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Mihemko kwenye mijadala, makasiriko kwenye hoja nzito, dhihaka kwenye ukweli, ghadhabu kwenye maoni tofauti, hasira na hata saa zingine kuporomosheana matusi mazito mizito bila hata sababu,

Hua ni kwasababu ya nini hasa hayo hutokea my friends, ladies and gentlemen in these influential political parties?

Mbona misingi ya kuanzishwa kwa vyama hivyo ni tofauti kabisaa? Falsafa, malengo na mikakati yao ya kisiasa pia ni tofauti, sera na uelekeo ni tofauti, hata uwezo wa kiuchumi na umakini wa viongozi wao ni tofauti kabisaa?

Nini Tatizo la chuki miongoni mwao hali ya kua wote wana uhuru na haki sawa ya kufanya siasa na kushawishi wananchi wawaunge mkono kwa wingi kuelekea uchaguzi mkuu, makasiriko na chuki hutokea wapi hasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Nadhani ccm ndio mna/wana chuki sana na chadema. Kuna mifano mingi!
 
Mihemko kwenye mijadala, makasiriko kwenye hoja nzito, dhihaka kwenye ukweli, ghadhabu kwenye maoni tofauti, hasira na hata saa zingine kuporomosheana matusi mazito mizito bila hata sababu,

Hua ni kwasababu ya nini hasa hayo hutokea my friends, ladies and gentlemen in these very influencial political parties?

Mbona misingi ya kuanzishwa kwa vyama hivyo ni tofauti kabisaa? Falsafa, malengo na mikakati yao ya kisiasa pia ni tofauti, sera na uelekeo ni tofauti, hata uwezo wa kiuchumi na umakini wa viongozi wao ni tofauti kabisaa.?

Nini Tatizo la chuki miongoni mwao hali ya kua wote wana uhuru na haki sawa ya kufanya siasa na kushawishi wananchi wawaunge mkono kwa wingi kuelekea uchaguzi mkuu, makasiriko na chuki hutokea wapi hasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
After waliyofanyiwa, wanayofanyiwa na ccm na makando kando yake (si wote). How can they love them?
 
Ndugu yangu nenda kafanye interview na wazazi wa Ben Saanane halafu uende Geita ukafanye interview na wazazi wa Aliphonce Mawazo halafu uende ukafanye interview na familia ya Lisu kuhusu kilichotokea pale area D miaka kadhaa iliyopita....utapata majibu
 
Chuki lazima iwepo hasa kama upande mmoja unauonea upande mwingine labda kama kungekuwa na fairness
 
Kuna uwezekano kuwa wewe ndiye katili ambaye huwa anatekeleza utekaji,mauaji au kubambikizia kesi makada wa chadema,maana haiwezekani kuwa unajifanya haujui ukatili wa ccm dhidi ya chadema.Siku zote mtenda husahau.
Au wewe unaishi nje ya Tanzania kiasi kwamba hujui mateso amvayo chadema wanapitia?
 
Mihemko kwenye mijadala, makasiriko kwenye hoja nzito, dhihaka kwenye ukweli, ghadhabu kwenye maoni tofauti, hasira na hata saa zingine kuporomosheana matusi mazito mizito bila hata sababu,

Hua ni kwasababu ya nini hasa hayo hutokea my friends, ladies and gentlemen in these influential political parties?

Mbona misingi ya kuanzishwa kwa vyama hivyo ni tofauti kabisaa? Falsafa, malengo na mikakati yao ya kisiasa pia ni tofauti, sera na uelekeo ni tofauti, hata uwezo wa kiuchumi na umakini wa viongozi wao ni tofauti kabisaa?

Nini Tatizo la chuki miongoni mwao hali ya kua wote wana uhuru na haki sawa ya kufanya siasa na kushawishi wananchi wawaunge mkono kwa wingi kuelekea uchaguzi mkuu, makasiriko na chuki hutokea wapi hasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Tatizo mmezidi kuiba kuraaaaaaaaaaaa
 
images (3).jpeg
 
Ndugu yangu nenda kafanye interview na wazazi wa Ben Saanane halafu uende Geita ukafanye interview na wazazi wa Aliphonce Mawazo halafu uende ukafanye interview na familia ya Lisu kuhusu kilichotokea pale area D miaka kadhaa iliyopita....utapata majibu
Aliyefanya huo unyama wote ni serikali siyo CCM. Wanasiasa hawana utafiki au uadui wa kudumu.
 
Tatizo mmezidi kuiba kuraaaaaaaaaaaa
akina nani walioibiwa? wataje tu gentleman.

ni akina msigwa hadi wakahama chama au ni akina nani?

halafu mpaka wanaibiwa kwa kutizama, walikua wanakodoa mimacho tu kwenye uchaguzi?

au ni maneno ya mkosaji tu gentleman?🐒
 
Aliyefanya huo unyama wote ni serikali siyo CCM. Wanasiasa hawana utafiki au uadui wa kudumu.
nadhani kuhusu serikali tufanye iwe stori kwajili ya siku nyingine,

ni muhimu kujikita zaidi kwenye hoja mahususi mezani.

Kuna haja ya chadema kua na chuki dhidi ya CCM na kinyume chake?🐒
 
Mnavo maliza watu weunaona sawa
 
Back
Top Bottom