Ukitathimini kwa kina, hivi kuna haja ya CHADEMA kuwa na chuki dhidi ya CCM ama kinyume chake?

Ukitathimini kwa kina, hivi kuna haja ya CHADEMA kuwa na chuki dhidi ya CCM ama kinyume chake?

Mihemko kwenye mijadala, makasiriko kwenye hoja nzito, dhihaka kwenye ukweli, ghadhabu kwenye maoni tofauti, hasira na hata saa zingine kuporomosheana matusi mazito mizito bila hata sababu,

Hua ni kwasababu ya nini hasa hayo hutokea my friends, ladies and gentlemen in these influential political parties?

Mbona misingi ya kuanzishwa kwa vyama hivyo ni tofauti kabisaa? Falsafa, malengo na mikakati yao ya kisiasa pia ni tofauti, sera na uelekeo ni tofauti, hata uwezo wa kiuchumi na umakini wa viongozi wao ni tofauti kabisaa?

Nini Tatizo la chuki miongoni mwao hali ya kua wote wana uhuru na haki sawa ya kufanya siasa na kushawishi wananchi wawaunge mkono kwa wingi kuelekea uchaguzi mkuu, makasiriko na chuki hutokea wapi hasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe unaonaje?
Yupo wapi Ben sanane?
 
Angalia asilimia kubwa ya wanaotukana na kufanya vurugu asilimia kubwa wala si wanachama wa vyama husika ni watafuta frusa tu.
alaaa?
gentleman,
sikufahamu hilo kabla.
kumbe washupaza shingo na watunishiana misuli dhidi ya vyama vyao ni wasaka fursa tu?

dah inasikitisha sana 🐒
 
Back
Top Bottom