After waliyofanyiwa, wanayofanyiwa na ccm na makando kando yake (si wote). How can they love them?Mihemko kwenye mijadala, makasiriko kwenye hoja nzito, dhihaka kwenye ukweli, ghadhabu kwenye maoni tofauti, hasira na hata saa zingine kuporomosheana matusi mazito mizito bila hata sababu,
Hua ni kwasababu ya nini hasa hayo hutokea my friends, ladies and gentlemen in these very influencial political parties?
Mbona misingi ya kuanzishwa kwa vyama hivyo ni tofauti kabisaa? Falsafa, malengo na mikakati yao ya kisiasa pia ni tofauti, sera na uelekeo ni tofauti, hata uwezo wa kiuchumi na umakini wa viongozi wao ni tofauti kabisaa.?
Nini Tatizo la chuki miongoni mwao hali ya kua wote wana uhuru na haki sawa ya kufanya siasa na kushawishi wananchi wawaunge mkono kwa wingi kuelekea uchaguzi mkuu, makasiriko na chuki hutokea wapi hasa?π
Mungu Ibariki Tanzania.
Tatizo mmezidi kuiba kuraaaaaaaaaaaaMihemko kwenye mijadala, makasiriko kwenye hoja nzito, dhihaka kwenye ukweli, ghadhabu kwenye maoni tofauti, hasira na hata saa zingine kuporomosheana matusi mazito mizito bila hata sababu,
Hua ni kwasababu ya nini hasa hayo hutokea my friends, ladies and gentlemen in these influential political parties?
Mbona misingi ya kuanzishwa kwa vyama hivyo ni tofauti kabisaa? Falsafa, malengo na mikakati yao ya kisiasa pia ni tofauti, sera na uelekeo ni tofauti, hata uwezo wa kiuchumi na umakini wa viongozi wao ni tofauti kabisaa?
Nini Tatizo la chuki miongoni mwao hali ya kua wote wana uhuru na haki sawa ya kufanya siasa na kushawishi wananchi wawaunge mkono kwa wingi kuelekea uchaguzi mkuu, makasiriko na chuki hutokea wapi hasa?π
Mungu Ibariki Tanzania.
Aliyefanya huo unyama wote ni serikali siyo CCM. Wanasiasa hawana utafiki au uadui wa kudumu.Ndugu yangu nenda kafanye interview na wazazi wa Ben Saanane halafu uende Geita ukafanye interview na wazazi wa Aliphonce Mawazo halafu uende ukafanye interview na familia ya Lisu kuhusu kilichotokea pale area D miaka kadhaa iliyopita....utapata majibu
akina nani walioibiwa? wataje tu gentleman.Tatizo mmezidi kuiba kuraaaaaaaaaaaa
waelezee wadau bila kubababika gentleman, be Free tu π
nadhani kuhusu serikali tufanye iwe stori kwajili ya siku nyingine,Aliyefanya huo unyama wote ni serikali siyo CCM. Wanasiasa hawana utafiki au uadui wa kudumu.