Ukitathimini kwa kina, hivi kuna haja ya CHADEMA kuwa na chuki dhidi ya CCM ama kinyume chake?

nadhani kuhusu serikali tufanye iwe stori kwajili ya siku nyingine,

ni muhimu kujikita zaidi kwenye hoja mahususi mezani.

Kuna haja ya chadema kua na chuki dhidi ya CCM na kinyume chake?πŸ’
Mimi nimemjibu member, sijamjibu mleta mada. Nyie endeleeni na chuki zenu.
Tlaatlaah unajulikana ni CCM na unaichukia chadema.
 
Mnavo maliza watu weunaona sawa
elezea wadau kwa kina kirefu kidogo gentleman, kuna haja ya chuki baina ya chadema dhidi ya CCM,

eleza tu kwa utulivu πŸ’
 
Wana CCM na Wana CDM hawana uhasama hata kidogovna wanapendana sana ila kunakakikundi kamajificha ndanivya CCM ndicho kinacho tanabaisha uhasama wa uccm na cdm. Watekaji na wauwaji wengi wao wala si wanachama wa chama husika bali ni ufedhuli na uchu wa madaraka wa baadhi ya watu.
 
Mimi nimemjibu member, sijamjibu mleta mada. Nyie endeleeni na chuki zenu.
Tlaatlaah unajulikana ni CCM na unaichukia chadema.
natamani pasiwepo na uchoyo wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani gentleman,

ni muhimu kama wadau kuelekezana mambo mbalimbali bila uchoyo ili kujifunza, kuongeza uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya mambo haya,

so,
ukijibu comment ya mdau, then mwingine aka reply koment yako, huenda ameona una kitu cha kipekee, anakuvuta utiririke zaidi,

ama kuna ubaya gentleman?πŸ’
 
Gentleman,
kama hakuna chuki, mihemko na kuporomosha matusi miongoni mwao hutokana na nini?πŸ’
 
Gentleman,
hakuna haja ya kutafuta huruma,

natamani kufahamu ikiwa kuna haja ya chuki baina ya chadema dhidi ya CCM ikiwa malengo na misingi ya kuanzishwa kwako na hata falsafa za uongozi ni tofaut kabisaa?πŸ’
 
Gentleman,
bado hujawaeleza wadau ikiwa kuna haja ya Chadema kua na chuki dhidi ya CCM na kinyume chake!
Elezea wadau kwa kifupi tu.

Malalamiko binafsi nadhani tutajadili wakati mwingine πŸ’
 
Chuki lazima iwepo hasa kama upande mmoja unauonea upande mwingine labda kama kungekuwa na fairness
Gentleman,
yupi anaonewa na mwingine hali ya kua misingi na malengo ya vyama hivyo vya kisiasa ni tofaut kabisaa, Lakini pia falsafa za uongozi na matarajio ya kila chama ni tofaut?

elezea wadau unaonewaje hali ya kua kila moja ana mikakati yake ya kisiasa?πŸ’
 
Tatizo africa mtu anaingia kwenye siasa si kwa lengo la kufanya siasa ni kwa lengo la kuchuma ndio maana hawana vifua( hawana pumzi). Bila kuwa na kitu kinachoitwa KUKOSOANA hiyo siyo siasa lazima kuwe na mawazo mbadala watu wapime wengi wakiona ya kwako ni bora hiyo ndio siasa na ndio demokrasia. Afrika mtu akiwa kiongozi anataka asifiwe tu mawazo mbadala au ushindani utatoka wapi? Ukisema tofauti wewe ni adui na ndicho tunachokiendekeza watz wengi. Tuangalie sera zinazotufaa kwa wakati huo tuamue tunakwenda na nani kama ni Doyo wa NLD sawa siyo huu ushabiki wa UCHADEMA na UCCM bila hata kuelewa sera za hivi vyama wengi wetu.
 
Tuweke mfano hapo CDM ww huoni wanapigwa za usoni mara nyingi nje ya utaratibu rasmi wa kisiasa za vyama vingi na CCM sote tunajua lengo kuu la vyama vyote ni kutawala wananchi lakini kama mmoja anawatumia hadi watumishi wa umma km vile walimu,polisi nk kuwin kisiasa huoni uonezi wa wazi kbs hapo😠😈
 
waTanzania waliamua kupitia sanduku la kura kwa CCM ndio ishike hatamu ya kuongoza dola ya Tanzania.

Ndio maana ilani inayotumika kuongoza nchi ni ya CCM na hiyo ikimaanisha kwamba, watekelezaji wa hiyo ilani ya CCM ni waTumishi wote wa umma wa kada zote.

CCM haiwezi kacha jambo lolote ambalo liko kwenye ilani eti kwasabb chama kingine cha upinzani kimesema hiyo sio sawa hali ya kua nacho kinatafuta fursa hiyo kupitia wananchi.

So,
ni upotishaji kwa chama cha siasa kukizushia chama kingine uongo ili chenyewe kionekane ni cha kweli kumbe ni upotishaji na utapeli mtupu πŸ’
 
Kwahiyo wapinzani wanajiteka,wanajitungia kesi wenyewe,nk ili kukichafua chama cha MP au sio?
 
Ngoja tuone
 
Kuanzia kutekwa na kuuwawa All Mbwana uchaguzi wa kwanza wa marudio Igunga hadi wa Ally Kibao na wengine wengi katikati unauliza nini?
 
nadhani kuhusu serikali tufanye iwe stori kwajili ya siku nyingine,

ni muhimu kujikita zaidi kwenye hoja mahususi mezani.

Kuna haja ya chadema kua na chuki dhidi ya CCM na kinyume chake?πŸ’
Wala hutaki majibu, unafanya makusudi na kujitoa ufahamu. Hakuna usichokijua. Umepewa majibu yote bado unarudia swali like lile. Nape sanduku la kura haliamui mshindi, wa kule Loliondo alisema waliuwa watu maporini, Bashiru alisema chama kinategemea dola kushinda. Kauli zipo nyingi na unazijua, labda unataka kupima hasira na kumbukumbu za watu.
 
CHADEMA haina chuki na CCM ila baadhi ya wanachama wake. Ikumbukwe CHADEMA ndo chama pekee cha upinzani kilichowahi kumkaribisha mwenyekiti wa CCM kama mgeni rasmi kwenye shughuli yao. Hawakuishia kumkaribisha tu bali pia walimpa tuzo maalum mwenyekiti wetu wa CCM. Kuna wanachama wachache wa CHADEMA wanaonyesha chuki zao binafsi dhidi ya chama pendwa CCM.
 
Tukichukulia kwamba ccm na chadema Ni watu na wanaishi mtaa mmoja. Kiukweli lazima kijana cdm angekuwa na bifu kubwa sana, hata washkaji zake wa pembeni wasingemshauri kuwa mnyonge πŸ˜€πŸ˜€
 
akina nani walioibiwa? wataje tu gentleman.

ni akina msigwa hadi wakahama chama au ni akina nani?

halafu mpaka wanaibiwa kwa kutizama, walikua wanakodoa mimacho tu kwenye uchaguzi?

au ni maneno ya mkosaji tu gentleman?πŸ’
Hakuna asiyejua kama CCM huwa wanaiba kura, Gwajima vs Halimaa Mdee kawe au niendelee kukupa ushahidi,unaami Chadema uchaguzi wa 2020 kweli waliambulia Mbuge mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…