Ukitawaliwa na mihemko katika utawala huwezi kufanya kazi yako vizuri

Ukitawaliwa na mihemko katika utawala huwezi kufanya kazi yako vizuri

Good-bye

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
1,085
Reaction score
1,812
Siyo Kwa sababu ni mwanamke mwenzangu, hapana ni Kwa sababu ni mama na ni kiongozi anaewakilisha vyema maana ya utawala wa demokrasia.

Mtaongea vibaya juu yake, yeye kimya na kupiga Kazi, mtamdharau Kwa uanawake wake yeye kimya na kuendelea kupiga Kazi.

Tukienda mbele na kurudi nyuma hakuna uongozi ambao hatukuulalamikia, hivyo naona ni kawaida ya mwanadamu haridhiki.

Ni sawa na baba ndani unawajibika bado mke haoni, unawajibika bado watoto wanasema nani kama mama. Kama baba Bora unaamua kupiga kimya ukiendelea kuwajibika maana hao ni wako utamtupia nani, ukiwa na mihemko ni Lazima utakimbia familia au kufukuza familia.

Najua Kazi ni ngumu sana ila Mungu aendelee kukutia nguvu mama.🙏
 
Back
Top Bottom