Ukitawaliwa na mihemko katika utawala huwezi kufanya kazi yako vizuri

Siyo Kwa sababu ni mwanamke mwenzangu, hapana ni Kwa sababu ni mama na ni kiongozi anaewakilisha vyema maana ya utawala wa demokrasia.

Mtaongea vibaya juu yake, yeye kimya na kupiga Kazi, mtamdharau Kwa uanawake wake yeye kimya na kuendelea kupiga Kazi.
Hapa ndipo ulipo utofauti kati ya mwanamke na mwanaume, fikra dhaifu zimejaa vichwani mwa wanawake.
 
Unaposema mtaongea vibay juu yake yeye kimya, unamaanisha nn hapa 🤔!! Kwamba ambae ilikua ukiongea vibay juu inakula kwako?

Tukienda mbele na kurudi nyuma hakuna uongozi ambao hatukuulalamikia, hivyo naona ni kawaida ya mwanadamu haridhiki.

Ni sawa na baba ndani unawajibika bado mke haoni, unawajibika bado watoto wanasema nani kama mama. Kama baba Bora unaamua kupiga kimya ukiendelea kuwajibika maana hao ni wako utamtupia nani, ukiwa na mihemko ni Lazima utakimbia familia au kufukuza familia.

Najua Kazi ni ngumu sana ila Mungu aendelee kukutia nguvu mama.🙏
 
Vizuri..afu hawakukutupa,walikulea bila kufikiria shida zote watakazopitia.🙏
 
Unaongozwa na mwanamke na utaendelea kuongozwa na mwanamke hadi 2030 utake ama usitake
Andiko lina zungumzia matumizi ya mihemko kuwa ni mabaya nawe una yaonesha hapa.

Umesoma na kuelewa nilicho andika nime quote wapi ?
 
Unaposema mtaongea vibay juu yake yeye kimya, unamaanisha nn hapa 🤔!! Kwamba ambae ilikua ukiongea vibay juu inakula kwako?
Maana zote ni njema tu.....mi Sina ufafanuz zaidi
 
Vizuri..afu hawakukutupa,walikulea bila kufikiria shida zote watakazopitia.🙏
Acheni kuwa na fikra dhaifu za kijinsia wanaume hatuna muda wa kutumia fikra dhaifu kama hizi " uanamke "
 
Siyo Kwa sababu ni mwanamke mwenzangu, hapana ni Kwa sababu ni mama na ni kiongozi anaewakilisha vyema maana ya utawala wa demokrasia.

Mtaongea vibaya juu yake, yeye kimya na kupiga Kazi, mtamdharau Kwa uanawake wake yeye kimya na kuendelea kupiga Kazi.

Tukienda mbele na kurudi nyuma hakuna uongozi ambao hatukuulalamikia, hivyo naona ni kawaida ya mwanadamu haridhiki.

Ni sawa na baba ndani unawajibika bado mke haoni, unawajibika bado watoto wanasema nani kama mama. Kama baba Bora unaamua kupiga kimya ukiendelea kuwajibika maana hao ni wako utamtupia nani, ukiwa na mihemko ni Lazima utakimbia familia au kufukuza familia.

Najua Kazi ni ngumu sana ila Mungu aendelee kukutia nguvu mama.🙏
mungu gani? Huyuhuyu ambao wenzio wanamuomba muda muafaka ufike watoe huyo bibi hapo waweke Rais wa kweli?
 
Back
Top Bottom