Ukitawaliwa na mihemko katika utawala huwezi kufanya kazi yako vizuri

Unamlinganisha na nani sasa?

Asali zinalambwa kama kawaida hadi tunakosa maji na umeme.
 
Unamlinganisha na nani sasa?

Asali zinalambwa kama kawaida hadi tunakosa maji na umeme.
Sijalinganisha mkuu,nimewaza tu nchi zilizojiingiza vitani zilianza iviivi
 
Mungu ambariki sana Rais Samia
 
Ni kweli hakuna utawala ambao haukosolewi na kwa kuzingatia hilo.

Ataendelea kukosolewa tu pale anapochemka.

Kama anavyomchana mtangulizi wake na sisi tutampa za uso.
Yeah,nae ashaona kawaida mambo haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…