Ukitawaliwa na mihemko katika utawala huwezi kufanya kazi yako vizuri

Hapa ndipo ulipo utofauti kati ya mwanamke na mwanaume, fikra dhaifu zimejaa vichwani mwa wanawake.
 
Unaongozwa na mwanamke na utaendelea kuongozwa na mwanamke hadi 2030 utake ama usitake
 
Unaposema mtaongea vibay juu yake yeye kimya, unamaanisha nn hapa πŸ€”!! Kwamba ambae ilikua ukiongea vibay juu inakula kwako?
 
Vizuri..afu hawakukutupa,walikulea bila kufikiria shida zote watakazopitia.πŸ™
 
Andiko lina zungumzia matumizi ya mihemko kuwa ni mabaya nawe una yaonesha hapa.

Umesoma na kuelewa nilicho andika nime quote wapi ?
 
Unaposema mtaongea vibay juu yake yeye kimya, unamaanisha nn hapa πŸ€”!! Kwamba ambae ilikua ukiongea vibay juu inakula kwako?
Maana zote ni njema tu.....mi Sina ufafanuz zaidi
 
Vizuri..afu hawakukutupa,walikulea bila kufikiria shida zote watakazopitia.πŸ™
Acheni kuwa na fikra dhaifu za kijinsia wanaume hatuna muda wa kutumia fikra dhaifu kama hizi " uanamke "
 
mungu gani? Huyuhuyu ambao wenzio wanamuomba muda muafaka ufike watoe huyo bibi hapo waweke Rais wa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…