Mungu ibariki ChademaSijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala.
Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu.
Nawasalimia wale waliokuwa wakishusha bendera za Chadema wakati wa misafara ya Rais. Jamani hamjambo?
Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala.
Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu.
Nawasalimia wale waliokuwa wakishusha bendera za Chadema wakati wa misafara ya Rais. Jamani hamjambo?
Aisee ina fanya maajabu sanaMungu ibariki Chadema
CCM Kama Chama hakina tatizo...ila 'kimetekwa nyara' na 'machawa' na 'wahuni'...halafu Chadema hakiwezi kuwa mbadala wa CCM kuongoza TZSijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala.
Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu.
Nawasalimia wale waliokuwa wakishusha bendera za Chadema wakati wa misafara ya Rais. Jamani hamjambo?
Okay sawa. Shida ni wahuni sio?CCM Kama Chama hakina tatizo...ila 'kimetekwa nyara' na 'machawa' na 'wahuni'...halafu Chadema hakiwezi kuwa mbadala wa CCM kuongoza TZ
Ameeni amenSiasa safi ziendelee Kwa Amani Kwa ustawi wa Nchi.
Ziara ya kikazi wakati imejaa kijani mwanzo hadi mwisho??Fahamu yafuatayo:
i) Mikutano ya waziri mkuu ni ziara za kikazi wakati mikutano ya CHADEMA ni mikutano ya hadhara ya kisiasa ,tofauti ipo kubwa.
ii) Ziara ya PM inahusisha na inahudhuriwa na watu maalumu wakati mikutano ya kisiasa inahudhuriwa na kila mtu,
iii) Kwa sababu za kiusalama ,ziara ya PM mara nyingi uwa ni Siri na taarifa zinapatikana siku husika ya ziara hiyo wakati mikutano ya kisiasa matangazo ya kuwepo ziara yanatolewa muda mrefu
Kwa haya machache unaweza kuona umefanya comparison ya mikutano yenye malengo tofauti.
Utoe na sababu pia.maana jeshi lenu,tume yenu,mahakama yenu,katiba mbovu yenu.CCM Kama Chama hakina tatizo...ila 'kimetekwa nyara' na 'machawa' na 'wahuni'...halafu Chadema hakiwezi kuwa mbadala wa CCM kuongoza TZ