Ukitazama Mkuta wa PM majaliwa Wiki iliyopita na Wa jana wa Mbowe Tunduma utadhani Chadema ni Chama tawala

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala.

Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu.

Nawasalimia wale waliokuwa wakishusha bendera za Chadema wakati wa misafara ya Rais. Jamani hamjambo?
 
Mungu ibariki Chadema
 
CCM Kama Chama hakina tatizo...ila 'kimetekwa nyara' na 'machawa' na 'wahuni'...halafu Chadema hakiwezi kuwa mbadala wa CCM kuongoza TZ
 
Okay sawa. Shida ni wahuni sio?
 
Fahamu yafuatayo:

i) Mikutano ya waziri mkuu ni ziara za kikazi wakati mikutano ya CHADEMA ni mikutano ya hadhara ya kisiasa ,tofauti ipo kubwa.

ii) Ziara ya PM inahusisha na inahudhuriwa na watu maalumu wakati mikutano ya kisiasa inahudhuriwa na kila mtu,

iii) Kwa sababu za kiusalama ,ziara ya PM mara nyingi uwa ni Siri na taarifa zinapatikana siku husika ya ziara hiyo wakati mikutano ya kisiasa matangazo ya kuwepo ziara yanatolewa muda mrefu

Kwa haya machache unaweza kuona umefanya comparison ya mikutano yenye malengo tofauti.
 
Ziara ya kikazi wakati imejaa kijani mwanzo hadi mwisho??
 
CCM Kama Chama hakina tatizo...ila 'kimetekwa nyara' na 'machawa' na 'wahuni'...halafu Chadema hakiwezi kuwa mbadala wa CCM kuongoza TZ
Utoe na sababu pia.maana jeshi lenu,tume yenu,mahakama yenu,katiba mbovu yenu.
 
Back
Top Bottom