Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala.
Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu.
Nawasalimia wale waliokuwa wakishusha bendera za Chadema wakati wa misafara ya Rais. Jamani hamjambo?