Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako

What goes around comes around



"Not everything is for everybody"
 
Umenikumbusha mbali Kuna jamaa aliwah nisaidia kumbe yeye walisaidiwaga na Babu yangu🤝🤝🤝🤝
 
Ulipofika kwa dada kukupa ticket bure bila shaka wazee wa tunda kimasihara fikra zilianza kupotea njia..[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wahuni walikua washaanza kuvuta hisia
 
Na sio wema tuu,hata ubaya nao huvunwa,wengine leo wanaishi maisha sio ya kwao kwa sababu wazazi/wazee wao walipanda mbegu mbaya huko nyuma leo imewaotea watoto/wajukuu wao...jamanii UTAVUNA ULICHOKIPANDA,kama ni wema utavuna wema kama ubaya basi katika huo utavuna pia.
 
Kuna wema wengine ni Malaika wanatumwa na Mungu kukusaidia wakati wa shida. Kuna siku niliharibikiwa na gari katikati ya mbuga ya Mikumi na eneo hilo kulikuwa na nyati kibao. Alitokea dereva mmoja wa kampuni ya utalii alinisaidia sana yaani alifuata mafundi mjini wakaja pale wakantengeneza na yeye alikuwepo anasubiri tu na baadhi ya spares za kufuata Mikumi mjini gari yake ndio ilikuwa inatumika. Baadae gari ilivyotengemaa kama saa sita usiku akaja mzee mmoja anamiliki hotel mwanzo mwanzo wa mbuga akaniambia nikaweke gari hotelini kwake na kulala na wote hao hawakunitoza hata shilingi. Niliwalipa mafundi.

Kuna siku nataka nikawatafute wale jamaa wote maana niliishiwa pozi na sikujua la kufanya pale mbugani.

Mbali ya hao wema kulikuwa na baadhi wa wajinga walikuwa wanatutisha (madereva wa Fuso) wakidai kuna simba wanatuvia wamewaona yaani kama wametumwa
 
Maderev wa fuso[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…