Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako

Mkuu kla Post Yko.... Inanpa funzo kifkra..... Kwa wema wako huu.... Ikitokea siku umekula bann..... Naomba nipm[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, last week nilipigwa BAN na Mods eti kisa nilikuwa ninatangaza kuuza vile vitabu vyangu nilivyokuwa ninavitumia katika kujifunzia kugha ya kijerumani.
 
Bla shak n kwkuwa hatukuwa Tunafahmiana b4.. Ila kwa sas kuwa tu Na Aman mkuu. Ikitokea tena hyo situation ni P.M mkuu[emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Sawa mzee baba. Asante sana. Pia ninaomba muwe mnanikosoa (Constructive Criticism) pale ambapo ninaenda vibaya kwa maana na mimi pia sijakamilika kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…