Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako

wow nimeipenda sana hii inagusa sana aisee yaani uko sawa kabisa mkuu,

the same applies kwa uovu au mabaya ambayo mtu anamfanyia mwenzie,ubaya huo unaweza usikurudie wewe au usione madhara yake ila ukaja kudhuru watoto au wajukuu zako vibaya sana usiamini
 
ishawahi nitokea hii kipindi fulani
 
Pia ukimuunga mkono Jiwe jua umeamua kuishi kama shetani, kutekwa na kupotezwa bila kusahau kuishi bila uhuru wa kutoa mawazo yako . Achilia mbali wizi anaoufanya pamoja na mambo mengine mengi meusi
 
Kuna mama alinisaidia ada ya chuo, hatukua tunafahamiana sana na huyo mama ila tulikua tumepanga chumba jirani na kwake, siku ya mtihani imefika sina ada na sijui nitaipata wapi, nikajilipua nikamfuata yule mama nikamuelezea shida yangu, akaniambia ada hujapata au umeinywea pombe? Alikua anatuona tukinywa kwa mangi, aliingia ndani akaniletea shilingi 480,000 akaniambia chukua hii nenda kafanye mtihani, nilipitiliza bank nikalipa nikakimbia chuo, nilimaliza mitihani na kurudi nyumbani, mwaka 2017 nilienda dodoma nikafika kwake kumsalimia, ila mwezi wa 5 nikapewa taarifa amefariki kwa changamoto ya kupumua na watu hawakuruhusiwa msibani najipanga niende nikatembelee familia yake
 
Magufuli wewe ndiye tunayekutegemea.
 
Wanahofu ya kushindwa na Magufuli Wanajua Magufuli lazima ashinde kwa 98% ndio maana hawataki wapambane naye.
 
Rais Magufuli amejua kutupigania Watanzania Wish you all the best Mr President.
 
Acheni kuweweseka nyie Wapinzani. Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu.
 
Asante Magufuli umejua kuwatumikia Watanzania October tutakupa kura zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…