Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako

Tatizo Chadema wanawatesa vijana kwa kuwaambia uwongo kuwa Lissu atashinda.
 
Hahahaha nimeupenda hii ...ila hiyo ya mema ya nchi duh...
 
Nimeipenda hii ya madereva wa fuso....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…