Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuuu...wako siriazi mkuu.!.Sema wakulaumiwa ni MA_CCM tu..Hao wote ni waduanzi tu wanazingua tu
Siyo Watanzania wote wamefika F4 brother, mi sijaona cha ajabu iwe kweli au utani, kwani CCM wanapoomba kura wanaomba kwa kiingereza? ujinga wa watanzania unaanzia shuleni, walisoma ni wajinga kuliko wasiosomawatanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo,
hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
View attachment 3046484
View attachment 3046485
NIDA og wako Maternity & Paternity,...Leave..Huduma ziko chini ,ofisi nyingi closed..maana hapo nasikia wanapiganaga dushe hatari....hawanyimani!Jombaa Bora Nida Textile waingilie kati tu.Nida wao wanasemaje kuhusu hilo??