Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Mtoa mada au😂😂😂Kwa jicho la nyama naona wewe ndo hamna kitu kichwani ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada au😂😂😂Kwa jicho la nyama naona wewe ndo hamna kitu kichwani ujue
Kila mtu anaeanza kutumia mtandao lazima aanze na fbFesibuku hiyo ni kawaida, wakulima ni wengi
Ndio mtoa mada...Mtoa mada au😂😂😂
Yeah ni kweli Mkuu na inawezekana ww pia umoo Kat ya haoNdio kama post moja ya jamiiforum walikua wanasema taarifa flani sio ya kweli. Hizo comments za watu sasa huko instagram. Ilionesha ni jinsi gani asilimia kubwa ya wabongo sio wafuatiliaji wa mambo na hatuna muda wa kusoma caption.
Kutapeliwa watu huko mtandaoni umeongea kitu mkuu..Ni ukweli usiopingika mleta mada. Ujinga bado upo. Na bahati mbaya, unaweza kuta wengi wao hapo wamemaliza form 4, form six au hadi vyuo vikuu ila uwezo wa kutambua mambo ni mdogo.
Mfano mwingine mdogo ni namna watu wanavyotapeliwa mitandaoni inaonesha dhahiri uwezo wetu/wa watu wetu bado ni mdogo kwenye kufikiri na kutambua mambo yanavyokwenda.
Na hii inaelezea kwanini kuna maeneo bado hayajaendelea lakini wawakilishi wao wanaenjoy kabisa wakati, kwa mtizamo wangu, ilibidi maeneo yaliyo nyuma kimaendeleo wawakilishi wao wawe wanabanwa sana kupambania watu wao.
Ww, umoo, kat = that message was directly meant for you.Yeah ni kweli Mkuu na inawezekana ww pia umoo Kat ya hao
Nimesema mara nyingi sanaa kama taifa tuna generation ya vijana yenye uwezo mdogo kielimu na kuchambua issues. Kama ingekuwa hii generation ndiyo ingetakiwa kupigania uhuru kwa wakoloni basi believe me tungekuwa koloni mpaka leo. No wonder Mzee Magoma anawapelekesha puta huko Yanga hahahaaaaawatanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo,
hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
View attachment 3046484
View attachment 3046485
Stress za Maisha nchi hii chanzo ni CCM tu... Full Stop.. Utatowa wapi sura yenye tabasamu la bhashasha.. wakati,Baba,Kaka nk.Wametekwa na wasiojulikana?:!Unamteka binadamu mwenzako,unamunyofoa kidole,halafu unampeleka mahakamani....hapo sijui muhalifu ni nani sasa. !Pamoja na hayo, NIDA Wana-stress watu mpaka wanatafuta msaada sehemu ambazo wala hazihusiki.
Nakubaliana na wewe mkuuwatanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo,
hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
View attachment 3046484
View attachment 3046485
Nani mwenye dhamana ya kusimamia hiyo elimu ili iwe bora iwafanye wawe wavumbuzi na wabobezi wa mambo mengi mengi.....Madege Makubwa,Magari mazurimazuri,kwenda mwezini na masayarini huko kama NASA??!!Ni CCM tu sasa....sioni mwingine.Nimesema mara nyingi sanaa kama taifa tuna generation ya vijana yenye uwezo mdogo kielimu na kuchambua issues. Kama ingekuwa hii generation ndiyo ingetakiwa kupigania uhuru kwa wakoloni basi believe me tungekuwa koloni mpaka leo. No wonder Mzee Magoma anawapelekesha puta huko Yanga hahahaaaaa
6. Chawa wa Mama.1. Waumini wa Mwamposa, kiboko ya wachawi, zumaridi, pastor tony kapola, lusekelo, geor davie na matapeli wengine kwenye dini.
2. Wote wanaojiunga na pyramid schemes kama forever living, Qnet, na zingine.
3. Wafuasi wa Mbowe.
4. Mashabiki wa muziki wa Singeli.
5. Waliojenga na wanaojenga mabondeni kwenye njia za maji.
Umefungua hiyo account ili uwabebe ufala wenzako😅😅😅watanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo,
hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
View attachment 3046484
View attachment 3046485