Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Wenye wajibu wa kuleta mabadiliko ni wananchi wenyewe but unfortunately more than 70 percent ya jamii yetu kwa sasa ni vijana tunaowazungumzia.Nani mwenye dhamana ya kusimamia hiyo elimu ili iwe bora iwafanye wawe wavumbuzi na wabobezi wa mambo mengi mengi.....Madege Makubwa,Magari mazurimazuri,kwenda mwezini na masayarini huko kama NASA??!!Ni CCM tu sasa....sioni mwingine.