Ukitizama hizi picha ndio utagundua ujinga Tanzania bado ni janga kubwa sana, tunahitaji kufanya kitu

watanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo,

hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
View attachment 3046484
View attachment 3046485
Siyo Watanzania wote wamefika F4 brother, mi sijaona cha ajabu iwe kweli au utani, kwani CCM wanapoomba kura wanaomba kwa kiingereza? ujinga wa watanzania unaanzia shuleni, walisoma ni wajinga kuliko wasiosoma
 
Umenikumbusha mbali...mwaka jana kuna jamaa angu ametoka mkoani amekuja kufanya maisha DSM anaishi pale mwananchi basi NIDA yake ilikua na changamoto ya tarehe basi akaenda kwenye kile Kiwanda pale Mwanachi kama sikosei kipo upande wa kushoto kama unakuja barabarani alipata aibu kinoma...alipiga simu anacheka tu 😁😁 wakati ananihadithia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…