Mburia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2022 Posts 2,369 Reaction score 3,488 Jul 20, 2024 #61 Idimulwa said: Nani mwenye dhamana ya kusimamia hiyo elimu ili iwe bora iwafanye wawe wavumbuzi na wabobezi wa mambo mengi mengi.....Madege Makubwa,Magari mazurimazuri,kwenda mwezini na masayarini huko kama NASA??!!Ni CCM tu sasa....sioni mwingine. Click to expand... Wenye wajibu wa kuleta mabadiliko ni wananchi wenyewe but unfortunately more than 70 percent ya jamii yetu kwa sasa ni vijana tunaowazungumzia.
Idimulwa said: Nani mwenye dhamana ya kusimamia hiyo elimu ili iwe bora iwafanye wawe wavumbuzi na wabobezi wa mambo mengi mengi.....Madege Makubwa,Magari mazurimazuri,kwenda mwezini na masayarini huko kama NASA??!!Ni CCM tu sasa....sioni mwingine. Click to expand... Wenye wajibu wa kuleta mabadiliko ni wananchi wenyewe but unfortunately more than 70 percent ya jamii yetu kwa sasa ni vijana tunaowazungumzia.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 20, 2024 #62 Hatari sana
Idimulwa JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,944 Reaction score 2,459 Jul 20, 2024 #63 Mburia said: Wenye wajibu wa kuleta mabadiliko ni wananchi wenyewe but unfortunately more than 70 percent ya jamii yetu kwa sasa ni vijana tunaowazungumzia. Click to expand... Mgoja siku nikielewa ulichomaanisha tutaendelea
Mburia said: Wenye wajibu wa kuleta mabadiliko ni wananchi wenyewe but unfortunately more than 70 percent ya jamii yetu kwa sasa ni vijana tunaowazungumzia. Click to expand... Mgoja siku nikielewa ulichomaanisha tutaendelea
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 1,568 Reaction score 1,923 Jul 20, 2024 #64 UMUGHAKA said: Ni nani wa kuiokoa Tanzania na huu ujinga? Click to expand... ELIMU
Mac Alpho JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 13,953 Reaction score 27,825 Jul 20, 2024 #65 Carleen said: Mac Alpho baba angu, wewe hutaki namba za dina..??ππ Click to expand... Unanishaurije Mnazi mwenzangu.? π
Carleen said: Mac Alpho baba angu, wewe hutaki namba za dina..??ππ Click to expand... Unanishaurije Mnazi mwenzangu.? π
Anko Bantu JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 832 Reaction score 1,034 Jul 20, 2024 #66 Kuna ule uzi humu JF wa vituko mtandaoni,yaani unaweza ukavunjika mbavu kwa kucheka
Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 7,982 Reaction score 27,272 Jul 21, 2024 #67 Mac Alpho said: Unanishaurije Mnazi mwenzangu.? π Click to expand... una ten limezagaa zagaa nikupe namba jembe langu..?ππ
Mac Alpho said: Unanishaurije Mnazi mwenzangu.? π Click to expand... una ten limezagaa zagaa nikupe namba jembe langu..?ππ