Hata mimi nimeshangaaZina uchafu gani hizo
Tunatoa tuweke kwenye kibubu unawezaje weka pesa chalavu kwenye kibubu wengine tunakatwa sana kwenye account zetu k8la mwezi unakatwa mahela inabak8 bank kama niiia ya kupokea na kutoaSasa unataka Pesa au unataka maonyeshovya Pesa
Utashangilia baadaeHata mimi nimeshangaa
Tajiri nimekwama kidogo,Eti NMB PESA ZENU HAMSAFISHI zimeenyooka ila ni chafu yaani kama karatasi zilizochakaa
View attachment 3629220
View attachment 3629225View attachment 3629226
Hizo zote zimetola kwenye ATM bora hata kwa wakala
Nb zinafanya kazi yake nimekerwa tu kukaa na maharasi machafu
We komaa usikwame.Tajiri nimekwama kidogo,
Nina ile hali ya kupenda pesa safiKama ukizinusa zikanukia ile harufu yake, ishi nazo hivyo hivyo unless otherwise ziwe zinanuka uchafu kabisa.
Utafanyaje sasa?Nina ile hali ya kupenda pesa safi
Pia hata na mimi nimeshangaa sana.Hata mimi nimeshangaa