Ukitoa pesa ATM ya NMB ni chafu sana kuliko bank zingine why ni kama umerudishiwa change na muuza mkaa

Ukitoa pesa ATM ya NMB ni chafu sana kuliko bank zingine why ni kama umerudishiwa change na muuza mkaa

Matajiri tuna shida kidogo, hela unaiweka pubric ili iweje? Mim pesa zangu nikitoa ATM zikija za hvyo narudi ndani kupanga foleni, ama naenda moja kwa moja kwa meneja. matajir ndivyo tulivyo. nikipata pesa mtajuta
 
Bank sio kiwanda cha kutengeneza pesa, wakati mwengne huzungusha hizohizo hela ulizoleta wewe
 
Back
Top Bottom