Ukitoa pesa ATM ya NMB ni chafu sana kuliko bank zingine why ni kama umerudishiwa change na muuza mkaa

Sasa unataka Pesa au unataka maonyeshovya Pesa
Tunatoa tuweke kwenye kibubu unawezaje weka pesa chalavu kwenye kibubu wengine tunakatwa sana kwenye account zetu k8la mwezi unakatwa mahela inabak8 bank kama niiia ya kupokea na kutoa
 
Wana ATM nyingi ila zinasumbua.

Za NBC na absa huwa hazisumbui sana.
 
Wateja wao wengi ni walimu na akina mama wa vikoba. Hapo hela lazima zichakae.

Hamia kwingine ni mwendo wa noti mpya mpya zilizosimama zenye kugawika kwa 10,000 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…