Umetoa kiasi gani broo?Eti NMB PESA ZENU HAMSAFISHI zimeenyooka ila ni chafu yaani kama karatasi zilizochakaa
View attachment 3629220
View attachment 3629225View attachment 3629226
Hizo zote zimetola kwenye ATM bora hata kwa wakala
Nb zinafanya kazi yake nimekerwa tu kukaa na maharasi machafu
Mwambie akupe zilizo chafuZina uchafu gani hizo
Sio kweli.Isije ikawa ni hela za boom halafu unakuja kututambishia. Hizo hela ni kama zina mapepo vile. Huwa hazitoboi semester.
Benki zenye hela safi ni zile international ila hizi ambazo za wasaka nyoka ni hatari.Eti NMB PESA ZENU HAMSAFISHI zimeenyooka ila ni chafu yaani kama karatasi zilizochakaa
View attachment 3629220
View attachment 3629225View attachment 3629226
Hizo zote zimetola kwenye ATM bora hata kwa wakala
Nb zinafanya kazi yake nimekerwa tu kukaa na maharasi machafu
Ntazitupa lwenye Bata nitafute safi zaidi hizi siweki kwenye kibubuUtafanyaje sasa?
Nishazitupa kwenye bataZitupe utakaaje na uchafufuchafu unaoshuka thamani kila siku.
Hesabu kwenye pichaUmetoa kiasi gani broo?
Hahaha boooooom booom but. Miaka 20 iliyopita ndo nilikula boomIsije ikawa ni hela za boom halafu unakuja kututambishia. Hizo hela ni kama zina mapepo vile. Huwa hazitoboi semester.
Sawa nmb bank tellerBank sio kiwanda cha kutengeneza pesa, wakati mwengne huzungusha hizohizo hela ulizoleta wewe
Eti NMB PESA ZENU HAMSAFISHI zimeenyooka ila ni chafu yaani kama karatasi zilizochakaa
View attachment 3629220
View attachment 3629225View attachment 3629226
Hizo zote zimetola kwenye ATM bora hata kwa wakala
Nb zinafanya kazi yake nimekerwa tu kukaa na maharasi machafu
Dah! Jamaa! Umechomoa aisee. Nilitaka ku..........Hesabu kwenye picha