Ukitoa posa unatakiwa kukaa muda gani ndio utoe mahari?

Ukitoa posa unatakiwa kukaa muda gani ndio utoe mahari?

Tatizo sio 1.5m yani kuna mtu ashapeleka advance laki 6 ndo anasema hamtaki ivo nipeleke mm mahari ili jamaa arudishiwe pesa yake
Yaani unamaanisha wazazi hawajamuuliza binti yao kama yuko tayari kuolewa na huyo aliyetanguliza mshiko wenyewe waliwaza mkwanja.

Kama ni hivyo poa pambana, ila kama ni binti yao mwenyewe ndio alibadili gia angani basi kuwa makini naye asiukaribie moyo wako.



MAGUFULI4LIFE.
 
Kwahiyo posa sio pesa?
😅 kwanza posa mara nyingi huwa ni bahati inayomuangukia mfungua barua akisha ona hela na harufu ya marashi anajua hapa tayari kunakitu.

Na hata akiwaita ndugu kuijadili barua huwa hawasemi kulikuwa na hela hiyo huwa wanapiga kimya au anasema ameishaitumia😀



MAGUFULI4LIFE.
 
Nipeni range ya kutoa posa na mahali huwa vinachukua muda gani wapendwa.[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani ukitoa posa unakaa muda gani ndio utoe na mahari?
Inategemea na kabila, kwa wachagga lazma ukae muda mrefu maana ujipange, ujue familia za wacagaa ukienda kimaskini unadharauliwa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom