Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Unaweza pia kughairi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakupanga tu.Tatizo sio 1.5m yani kuna mtu ashapeleka advance laki 6 ndo anasema hamtaki ivo nipeleke mm mahari ili jamaa arudishiwe pesa yake
Yaani unamaanisha wazazi hawajamuuliza binti yao kama yuko tayari kuolewa na huyo aliyetanguliza mshiko wenyewe waliwaza mkwanja.Tatizo sio 1.5m yani kuna mtu ashapeleka advance laki 6 ndo anasema hamtaki ivo nipeleke mm mahari ili jamaa arudishiwe pesa yake
😅 kwanza posa mara nyingi huwa ni bahati inayomuangukia mfungua barua akisha ona hela na harufu ya marashi anajua hapa tayari kunakitu.Kwahiyo posa sio pesa?
Mkuu, angalia posa nyingine. Hio ndo imeenda.Kuna mtu kanisubirisha miezi 5 nataka nirudishe posa yake akiwa tayari aanze upya
Inategemea na kabila, kwa wachagga lazma ukae muda mrefu maana ujipange, ujue familia za wacagaa ukienda kimaskini unadharauliwa kweli kweli.Nipeni range ya kutoa posa na mahali huwa vinachukua muda gani wapendwa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ukitoa posa unakaa muda gani ndio utoe na mahari?