Ukitongozwa na mke wa mtu ukatembea nae, karma inakufata?

Ukitongozwa na mke wa mtu ukatembea nae, karma inakufata?

Ukiagiza supu usisahau kuagiza na chapati mbili kama ilivo ada
 
Yani yeye mwenyewe ndo akilazimisha mpaka ukaona basi ngoja umpatie tu, je kuna kesi hapo? Au ndo hivyo karma inachukua mkondo wake?

Ukilazimishwa uingize mkono wako kwenye moto utafanya hivyo?
 
siamini katika karma, ila nachoamini ni kwamba siku ukidakwa ugoni, unafirika
 
Yani yeye mwenyewe ndo akilazimisha mpaka ukaona basi ngoja umpatie tu, je kuna kesi hapo? Au ndo hivyo karma inachukua mkondo wake?
Ivi Tanzania kuna tozo kweli au ni ndoto tu!?
 
Back
Top Bottom