Ukitongozwa na mke wa mtu ukatembea nae, karma inakufata?

Ukitongozwa na mke wa mtu ukatembea nae, karma inakufata?

Huwezi kuwa na mwanamke akawa wako tu peke yako!
Asipoliwa nje leo, basi hata mwakani.

Sawa, ila maelewano ndo yanatakiwa sio ujifanye mjanja kwenye hiyo theory kwamba isikuhusu.

Tukubaliane,hata binti yako, mama yako, mkeo na wote wa jinsia tofauti wanaliwa kwa mtindo huo.

wanaume kwann tugombane kama tumeamua jamii yetu iwe ya aina hii ya maisha unayoisema.

Inatakiwa aise ukikuta namla mke wa baba yako unachukulia poa tu na ww unamla binti wa jirani yako hivyo hivyo yaani, kesho binti yako aliyepevuka analiwa na mume wa dada yako FRESH YAANI.
 
Katika makosa najutia duniani basi moja wapo ni hili la kutembea na mke wa mtu.

Mungu anisamehe mnoo katika hili. Nitajaribu kufupisha.
Ilianza kama masihara mwanamke akawa ananizoea kwa nguvu na mimi mtaani ni mtu wa watu nikaona sio kesi ila kadri muda unasogea nikagundua huyu ana lake jambo, kwangu mimi yule ni mkubwa nahisi kanizidi miaka mingi kidogo atakuwa kwenye 40+, mumewe ni mtu mzima huwa namuita mjomba kimtaani mtaani anagonga umri wa 50+, ni jamaa ambae tunaheshimana kinooma, vitu vingi ananiomba ushauri, yeye arsenal nami arsenal, yeye yanga mimi simba, ila hata nikizungumza kitu kwenye yanga hana tabu, kifupi huwa anakubali uwezo wangu katika kuchambua mambo.

Sasa yule mkewe mazoea yalizid, akikuona ninunulie soda, mara fanya hivi, vingine nakwepa vingine namsaidia, tumeenda miaka inafika mi4, hajawahi kutamka ila dalili zinaonekana, kiasi washikaji mtaani wakawa wanajua.

Ikatokea siku akawa na shida, nikamwambia njoo kwangu uchukue, kama masihara akaniuliza kwako wapi nikamwambia nimehamia sehemu fulani akajibu sawa, nikajua haji, huenda ananizingua kama kawaida yake, siku ikapita, kesho yake mida ya saa 10 hivi ananiambia ulisema unakaa wapi, mie sehemu fulani, akaniambia niko sehemu fulani, nikadhani masihara nami nikamjibu mbona niko hapa sikuoni, akajibu nipo hapa hapa, nilikiwa ndani, kutoka kweli yupo ile sehemu, yupo na wanae wawili na binti wa kazi nikajua huyu ana safari zake, tukasalimiana akasema anaenda kwa dada yake kumtembelea, mie nikajua huyu ana safari zake, nikasema sawa, akaniuliza ninapoishi nikamuelekeza, wakaondoka, nikarudi ndani kuendelea na shughuli zangu, muda kidogo nasikia hodi kwenda kufungua ni yeye yupo mlangoni, nikamfungulia, hana neno, nami akili za nyege zishanikaa, nikampelekea moto, sukumia saana kipande cha nyama, aisee, baada ya kumaliza nikamueleze tumekosea, kikubwa hapo tuvunge tusirudie tena, mdada hakuwa muelewa sijui ukuni ulinoga, usumbufu ukazidi, simu haziishi, nami nikawa namkwepa, baada ya pale sikumla tena, japo aishawi kuja usiku usiku kaaga anaenda maulidini akaja, uzuri alinipa taarifa, hivyo nikazima taa ndani simu nikaitoa sauti kaja kapiga na kuita mpaka akaondoka, usumbufu ukazidi, kiasi mumewe akaja kushituka, msala wake ulikuwa si kitoto. Alikatazwa kutumia simu, akanunua akawa anatumia kisiri siri siku mumewe akainyaka, kakuta meseji chafu chafu. Dah, ilikiwa noma, kesi hadi kwa bimkubwa wangu, jamaa na kwa bimkubwa ni nyumba ya pili hivi.

Sisahau kile kisanga.
 
Na
Yani yeye mwenyewe ndo akilazimisha mpaka ukaona basi ngoja umpatie tu, je kuna kesi hapo? Au ndo hivyo karma inachukua mkondo wwa

Yani yeye mwenyewe ndo akilazimisha mpaka ukaona basi ngoja umpatie tu, je kuna kesi hapo? Au ndo hivyo karma inachukua mkondo wake?
Na wewe kama una mke wako amini nakwambia atakuja tafunwa na mtu mwingine nimeshuhudia hili mara nyingi sana.
 
Yani yeye mwenyewe ndo akilazimisha mpaka ukaona basi ngoja umpatie tu, je kuna kesi hapo? Au ndo hivyo karma inachukua mkondo wake?
Na je ukisikia mkeo kaenda kulazimisha atafunwe uko nje na mtu,,na yule mtu akamtafuna hauta umia??,,jibu utalopata geuza opposite yake ndo karma yenyewe
 
Back
Top Bottom