Ukituliza Akili yako na Kuisoma 'Press Release' ya Yanga SC juu ya 'Hukumu' ya Manara utagundua aliyekuwa Kocha Wao Luc Eymael hakukosea alipowadharau

Tatizo la manara kutoka Simba akajenga uadui wakati tayari alikuwa ameshajenga heshima yake kubwa kwa mashabiki saizi tunamuona msaliti na mnafiki tu TFF wamefanya jambo jema.
Ndugu mdau, Manara ni Kama mtoto aliyedekezwa, kwa hiyo usipokuwa makini naye atakuvua nguo siku moja. Hiki kiburi anacho toka akiwa Simba.

Unaweza kukumbuka tukio la yeye kumzuia CEO asijibu maswali, au kumsemea mbovu yule mtangazaji mwanamke wa Clouds. Kwa hiyo alishafika level ya kujiona yeye Ni untouchable. Lazima anyooshwe, ili akili imkae Sawa.
 
Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao.

Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira mpaka Makocha wao wengi tunao Tanzania wamtegemee Haji Manara Kuuendeleza Mpira Wao?

Eti ni Hukumu Kali na ya Kumuonea hivi Haji Manara alipoichafua Simba SC na nchi kwa Kuziambia Timu ngeni kuwa zikija Kucheza na Simba SC Tanzania wawe makini wanaweza Wakafa kwa Sumu hapa alikuwa sahihi hata kwa Usalama wa Taifa / Nchi? Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.

Hivi hii nguvu Kubwa mnayoitumia Kumtetea Haji Manara na Maupuuzi yake yasiyovumilika mngeitumia katika Kumuasa au Kumuonya au Kumuongoza vyema yangefikia hapa? Hamna Akili kabisa nyie.

Ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) alisema ( ipo YouTube ) kuwa Watu wa Yanga SC ni Nyani, Sokwe na Mbwa kutokana na Ulemavu wenu wa Akili.

Lakini hata huyu huyu Mhamasishaji na Msemaji wenu mnayejitutumua Kumtetea Kinafiki hapa Haji Manara alipokuwa EFM katika Mahojiano nao alisema kuwa Yanga SC yote ( nzima ) wenye Akili Timamu ni Watu Watatu tu Mama Karume, Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi Mzee Manara na waliobakia Wote wana Akili za 'Kipa Katoka' tupu tu.

Si mmeahidi Kumsaidia katika kukata Rufaa? Sasa nawaibieni Siri kuwa mkiikata tu na TFF nao wanajiandaa Kuipinga hiyo Hukumu ya Jana kuwa ni Ndogo na pia tayari Rais wa TFF nae anawasikilizia mkate tu hiyo Rufaa yenu ili nae aende Police Kumshtaki Haji Manara kwa Kumtishia Maisha kuwa 'atamkoma' na 'atamuonyesha' ambapo Ushahidi upo na sasa itakuwa ni Criminal Case na hatotoka.

Press Release yenu ni ya Kiboya mno.
Wewe upuuzi ndio unaokusumbua,kumbuka haji manara alizozana na nani?,je huyo aliywzozana nae hatakiwi kuhojiwa na kuhukumiwa?
Hiyo kamati iliyohukumu,imeundwa na nani?hivyo ndio vitu tunataka kuvijua na hajji ataibuka kidedea,vinginevyo katia nae ahukumiwe
 
Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao.

Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira mpaka Makocha wao wengi tunao Tanzania wamtegemee Haji Manara Kuuendeleza Mpira Wao?

Eti ni Hukumu Kali na ya Kumuonea hivi Haji Manara alipoichafua Simba SC na nchi kwa Kuziambia Timu ngeni kuwa zikija Kucheza na Simba SC Tanzania wawe makini wanaweza Wakafa kwa Sumu hapa alikuwa sahihi hata kwa Usalama wa Taifa / Nchi? Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.

Hivi hii nguvu Kubwa mnayoitumia Kumtetea Haji Manara na Maupuuzi yake yasiyovumilika mngeitumia katika Kumuasa au Kumuonya au Kumuongoza vyema yangefikia hapa? Hamna Akili kabisa nyie.

Ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) alisema ( ipo YouTube ) kuwa Watu wa Yanga SC ni Nyani, Sokwe na Mbwa kutokana na Ulemavu wenu wa Akili.

Lakini hata huyu huyu Mhamasishaji na Msemaji wenu mnayejitutumua Kumtetea Kinafiki hapa Haji Manara alipokuwa EFM katika Mahojiano nao alisema kuwa Yanga SC yote ( nzima ) wenye Akili Timamu ni Watu Watatu tu Mama Karume, Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi Mzee Manara na waliobakia Wote wana Akili za 'Kipa Katoka' tupu tu.

Si mmeahidi Kumsaidia katika kukata Rufaa? Sasa nawaibieni Siri kuwa mkiikata tu na TFF nao wanajiandaa Kuipinga hiyo Hukumu ya Jana kuwa ni Ndogo na pia tayari Rais wa TFF nae anawasikilizia mkate tu hiyo Rufaa yenu ili nae aende Police Kumshtaki Haji Manara kwa Kumtishia Maisha kuwa 'atamkoma' na 'atamuonyesha' ambapo Ushahidi upo na sasa itakuwa ni Criminal Case na hatotoka.

Press Release yenu ni ya Kiboya mno.
Umetumia criminology procedure gani hapo?

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Take it from Me kaka…
Hakuna anaemuweza Haji[emoji12][emoji275]
Kuna jitu nyuma yake…
Najua walifungiwa kina wambura sijui Maisha ila kwa haji watashindwa[emoji12][emoji30]
Haji hakurupuki Kuongea anaambiwa nini cha Kuongea[emoji40][emoji12]
 
Hakuna sehemu manara ,kawaambia mumjadili Ni nyinyi na viherehere vyenu
Mbona press ya leo kamtaja barbra shida nini ? Mwambieni mtu wenu aache mambo ya kike kujicompare na mwanamke
Kinyesi wewe
 
Nimewapenda Sana wasafi FM walipokataa kulijadiili hili swala la huyu jamaa,hawajataka kabisa kumpa airtime. Tena Edo akagongelea msumari aliposema "siasa za Mpira zipo duniani kote,wala hakuna Jambo jipya hapo Kwa kilichotokea,tujadili goli la sacko na kiatu chake"
Hata star tv habar wamemu ignore wametoa taarifa ya Wilfred Kidau
 
Kama Aliyefungiwa Si Feitoto Basi Makolo Tabu Iko Pale Pale Agosti 13
Mashabiki wa mbumbumbu Fc msimu ulioisha hawajabeba kombe lolote la maana na wameshindwa kumfunga mtani wake ndio maana wamejikita zaidi kwenye sekta ya udaku na umbea wanaenda na upepo mara washabikie Mpole cup , Sopu Cup , Sakho cup sasa hivi wako bize na Manara .

Walivyoona Yanga inashamiri walihamia kwenye udaku wa bahasha na tarehe 13 Fei alikata kabisa umbea wa bahasha na hawazungumzii tena .
 
😁😁😁
16588134714313.jpg
 
Back
Top Bottom